Sifa za kila mkoa Tanzania.

Sifa za kila mkoa Tanzania.

Vin Diesel, where are you, nanyanyasika hivi?

Sasa hivi amepumzika na wake wa moyoni unampigia pigia kelele KOKUTONA nilikuambia uje kwa watu kama sisi ukatudharau ona sasa uliyempenda nae kakuacha tutakusafirisha na ungo kukuleta arusha
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi amepumzika na wake wa moyoni unampigia pigia kelele KOKUTONA nilikuambia uje kwa watu kama sisi ukatudharau ona sasa uliyempenda nae kakuacha tutakusafirisha na ungo kukuleta arusha

Ungo..........? Over my dead body.
 
Njombe - Uchawi
Nipo Tanga mbona siyaoni hayo mapenzi??
huo utajiri wa manyara unatokea wap????
 
Back
Top Bottom