Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
hiyo sifa ya Arusha duuh!
sifa ya mwanza ndio ilitakiwa iwekwe AR
wtt wa ungaltd bado hatujaacha msuba so utulivu ni ziro!
kama kawaida yetu
hiyo sifa ya Arusha duuh!
sifa ya mwanza ndio ilitakiwa iwekwe AR
wtt wa ungaltd bado hatujaacha msuba so utulivu ni ziro!
1. Dar es salaam - UTAPELI
2. Arusha - USTAARABU
3. Mbeya - MATUKIO
4. Mwanza - FUJO
5. Tanga - MAPENZI
6. Morogoro - STAREHE
7. Dodoma - BAHATI
8. Iringa - ELIMU BORA.
9. Ruvuma - POMBE
10. Rukwa - UCHAWI
11. Tabora - MIKOSI
12. Shinyanga - NJAA
13. Singida - UPOLE
14. Kagera - MISIFA,AKILI
15. Lindi - WAJANJA
16. Kigoma - UBISHI
17. Pwani - UVIVU
18. Mtwara - HASARA
19. Kilimanjaro - UBAHILI, UTAFUTAJI
20. Mara - HASIRA
21. Manyara - UTAJIRI
22. Geita - PRESHA
23. Simiyu - MARADHI
24. Njombe - HARAKA
25. Katavi - AIBU, UCHAWI
Waruhusiwa kuongezea.
Nataja sifa wewe peleka mkoa husika
-kupenda mabusha
-kulima bangi
-ujasiriamwili
-champions of tigolaizeshoni
-vipaji vya umbea
-vipaji vya mpira
-vipaji vya kuimba
-vipaji vya kupiga mtungi
Kulima bangi-MARA/MANYARA
Vipaji vya kuimba-MBEYA, KIGOMA
Vingine mtihani.....
Koku,hujalala mpaka muda huu?au upo china?mi nacheki mpira huku napitia jf
kama kawaida yetu
hahaaaa!lini utaacha kitu cha arusha?
maana ww ni miongoni mwa waleta fujo jijini!
Kitu cha arusha adimu mpenzi! !#
Utasubiri Sana honeynimekuuliza utaacha lini msuba
maana uankuharibu hahaaaa!