Eti "anakufanyia surprise very often"...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....
Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]its funny hii post imefanya nione huyu mume nilienae sio hubby material kabisa duh,kumbe kuna wanaume TZ hii wana sifa zote hizo aloo