Sifa za husband material

Sifa za husband material

1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea

Na zingine malizieni.


Wanawake kama nyie huwa mnafanya mwanaume kama chuma ulete. Fanya kazi add value kwa mwenzako (ili maisha yenu yaende, cz its a collaboration and life partnership and support dem akiwa hivi hata sioni noma akila hela yangu cz kuna kitu anachangia kwenye returns not otherwise)

Otherwise tunakula tunabwaga. Dem mpe ur resources and time only if ana positive impact kwako. Mtu akiku drain unapiga chini. Life is short to entertain stupidity.

Unakuta mwanamke serious kabisa ana kazi na kipato chake kizuri tu anakuomba hadi vocha, sadaka, sijui hela ya daily basics man What Tha FxxK. Ukicheck gharama zote za maisha na housing welfare na cover mm. Hapana Kwa Kweli.

Financial Issues Are The Number One Cause Of Divorce These Days All Cz Mmoja Ni Mjinga Tu Wa Kufikiri.
 
Nakubaliana na wewe kabisa, hizo ni sifa za husband material kwa wife material

Kimbembe kwa husband material tafuta huyo wife material kama hujafa na utamu wako kiunoni

Dunia ya sasa ni mwendo wa kubalance energy tu, yaani unavyokuja ndo unavyopokelewa, mwanamke usipokaa kwenye code utayokutana nayo ni unasepa bila kuaga

Hamna muda wa kupoteza na hizo sifa nadharia

Ukimshirikisha Mungu unampata mbona
 
Dada angu huku utaandika ,utaandika humu hao watu hawapo labda utoe tangazo la biashara humu utapata wateja. Goodnight

Polee dada kama hujapata husband material no wonder una mAwazo hayo
Anyway nimekuandikia na ww uone kuwa wanaume husband material wanavokua sio unashia na hao wasiojielewa
Na akili zako zilivo fupi umekimbilia kusema biashara dah hujielewi dada
 
Back
Top Bottom