Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
Better be kwakweli jf naijua vizuri sana Hasa huku chitchat MMU tunakoshinda ndio hatari zaidi!Namuambia tu apunguze matumizi ya jf, hate kwa sasa inazidi kuwa juu
Better be kwakweli jf naijua vizuri sana Hasa huku chitchat MMU tunakoshinda ndio hatari zaidi!Namuambia tu apunguze matumizi ya jf, hate kwa sasa inazidi kuwa juu
Imagine mtu from nowhere tu alianza kumtukana, ni kama alikuja na I'd nyingineBetter be kwakweli jf naijua vizuri sana Hasa huku chitchat MMU tunakoshinda ndio hatari zaidi!
Hio ni hatred ya kisee sana na kutokujiamini angekua anajiamini angekuja na id yake yakila siku!Imagine mtu from nowhere tu alianza kumtukana, ni kama alikuja na I'd nyingine
Ni ujinga tuHio ni hatred ya kisee sana na kutokujiamini angekua anajiamini angekuja na id yake yakila siku!
Watu wana mitimanyongo sana humu makasiriko bifu na visasi vya kipuuzi sana!
Inabidi uwazoee hawa wana wa Adam.Hio ni hatred ya kisee sana na kutokujiamini angekua anajiamini angekuja na id yake yakila siku!
Watu wana mitimanyongo sana humu makasiriko bifu na visasi vya kipuuzi sana!
😂😂😂😂😂 Ili nilidada linalovaa ndala za Manyoya. Linatumia robo tatu siku kuangalia tamthilia.Eti "anakufanyia surprise very often"...😃😃😃😃😃
Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....
Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia 😃😃😃
Eddera hii ni mara 5 sasa najaribu Pm yako lakini hainguki.Ni mwanaume mpumbavu tu anaweza kuwa na sifa hizo zote. Na ni mwanamke mbinafsi tu na asiyejua kutafuta pesa atahitaji sifa zote hizo kwa mwanaume. Kaka zangu amkeni.
Kumshirikisha Mungu ni mpaka umjue kweliUkimshirikisha Mungu unampata mbona
Yaani hata sijuiNaona mama la mama Lamomy kapigwa pin amefanyeje tena jamani hawa modisi watamtoa roho doh!
Blah blah blah1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.
Jifunze kuwa na replies zenye mashiko na sio hizi zenye makasiriko.




Au umelelewa na single mother nini?Fanya nawe uwe na mchuchu modi udugu haiwesekani huu uonefu kila siku! 🤓!Mod watu wenye visa vyao wakireport hata hawafatilii wala hawasomi comment wao wanatoa ban tu!!! Wamenikosea sana sijapentraaa kabisaaa 😂😂😂
Moderator ile ban haikuwa fair nakata rufaa
Usiwaze upo huru ili usizingue tenaMod watu wenye visa vyao wakireport hata hawafatilii wala hawasomi comment wao wanatoa ban tu!!! Wamenikosea sana sijapentraaa kabisaaa
Moderator ile ban haikuwa fair nakata rufaa
Me huyu?? ThubutuuuFanya nawe uwe na mchuchu modi udugu haiwesekani huu uonefu kila siku! 🤓!