Sifa za husband material

Sifa za husband material

Hii bollywood naona wahusika wengi , aliyeiteka movie sana ni huyu anaebembeleza penzi jipya ndio kabeba sifa nyingi
 
🤣🤣🤣🤣 Tafuta bas udugu me kumiliki mudi siwezi anaweza kuharibu kazi ofisini kwa watu
Ukinidate me unatakiwa uvae miwani ya mbao na moyo wako uwe strong
Mi humu nawezea wapi ndugu yangu hapo sasa tutaonewa sana humu tuwe wapole tu! 🤠🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
 
Mi humu nawezea wapi ndugu yangu hapo sasa tutaonewa sana humu tuwe wapole tu! 🤠🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
Hujaamua tu udugu, km kaukau zimepata utashindwa weye dada mwenye mshepu wake jf nzima 😜
 
Back
Top Bottom