Sifa za husband material

Sifa za husband material

Yani mimi nimecheka.
Yani mleta mada hakuna kama mwanaume ambaye ni romantic kama Gong Yoo au Maurice Sam. Pengine hata wao hatuwajui hawa waigizaji wanaishije na watu wao.
Hio ni fantasy tu.

Bora ungesema awe na heshima, upendo na responsible kwa familia yake. Hayo mengine they don't exist kabisa kwenye dunia hii labda sayari nyingine.
 
Kuna wakaka wana hizo zoteeeee!😂
Lazima ukimwangalia vizuri atakuwa na udada dada. Mfano ukiwa na sifa ya 8 inatosha.

Lakini akiwa na combination ya 6 na 7, basi ndio wale watu wanagonga wake zao, na wake zao wanasema HANA TABU ANANIAMINI SANA🤣.

Sifa hapo ni 1 mpaka 3 + Hela. Zilizobakia uki combine unapata mafala,wanyonge n.k at different levels.
 
Nina sifa tatu tu kati ya 16😂😂😂😂

Najitambua

Nina busara

Mpambanaji
 
Mume wangu Ana sifa hizo zote Ndio maana nikaona why not share with you guys mjifunze
Yule uliyemfumania anachati na mademu wengine ukachoma moto nguo zake?.....
And for the correct I have a job and am independent ila I have a man who is very responsible and he takes good care of me , a real man
....... yule uliyefanya naye mapenzi ofisini..... Au yule aliyekutoa out akala chakula chako ulichoagiza?.....
 
Lazima ukimwangalia vizuri atakuwa na udada dada. Mfano ukiwa na sifa ya 8 inatosha.

Lakini akiwa na combination ya 6 na 7, basi ndio wale watu wanagonga wake zao, na wake zao wanasema HANA TABU ANANIAMINI SANA🤣.

Sifa hapo ni 1 mpaka 3 + Hela. Zilizobakia uki combine unapata mafala,wanyonge n.k at different levels.
Muonee!
 
Naona umeandika ila wanawake wengi wanapenda wahuni/bad boy/f*ck boy,wale ambao hawa wajali sana wana watreat kama chombo cha starehe. Nice ni wanawake wachache wanao waona na kuwakubali, ila wengi wenu mnadai "wanaboa ".
 
Wala sio wakina nyie kuna aisha
Hao ni wanaume wenyewe wanajielewa ambao kila mwanamke ni ndoto yake kuwa nae
Punguza kuangalia tamthilis kunywa maji mengi pata mda wa kusoma vitabu vya dini tembelea beach mara moja moja uweze kuepukana na sonona ulionayo bibie na acha kuota unthinkable things ni kama u wish kuwa kama SUPERMAN 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom