duh!..................Pazuri sana niliwai kufika miaka ya 1999; ila sijui sasa hivi pakoje ila kwa mtu anayeanza maisha panafaa sana ukifika huko husisahau kutafuta shamba lako ukome kuja kupote muda hapa nenda shamba kalime
kafanye kazi wewe, huko nako tzahello wanajamii wa tzee.
Naomba mnisaidie walau kujua wilaya ya mpanda na sifa zake. Nimepata kazi huko thoo sijaripot bado.
Thanx