Sifa mbaya za makabila yetu

Sifa mbaya au tabia mbaya hazina uhusiano na kabila.
Kila jamii utakuta watu wana tabia nzuri na mbaya, hakuna kabila tukufu kwenye hii sayari
 
Naomba utuelezee na mazuri yake! Nijuavyo mm hakuna kabila lililokosa tabia mbaya labda kabila lako! Kama umalaya kila kabila malaya kama huamini nenda sehem za starehe ndipo utajua.
 
sasa mbona yote kwenye kabila letu yapo,tunao wezi ,wachawi,waakatili ,wauwaji, ubahili,labda kidogo umalaya hatuna tuna wazinzi namaanisha hatufanyi biashara bali kuburudishana kwa kwenda mbele!ndio maana hata popo bawa wanapapenda huku!
 
 
Wapogoro hakika huwatoi kwa umbea na upashkuna na ulozi!!
 
ni kabila lipi linaweza ni bora zaidi ya hili?alafu mbona kujinyonga popote watu wanajinyonga lazima iwe wahehe?
 
mwaka huu wehu wameongezeka
 
Jamani kuna hili kabila la WAHA from Kigoma, ni wabishi haooo.... balaa!


Waha si wabishi tu kwani nao ni wachawi sijapata ona. Kina Diamond, Lunyamila, Nteze John, Zitto, Kabourou, ndo kabila lao hili. Muha hafanyi kitu bila kupulizia unga. Ni noma kishenzi na ndiyo maana hawapatani na wafipa hata kidogo kwani wote wanaogopana kwa mazingaombwe.
 
Mkuu, mbona umesahau hawa? Wahha, Wanyamwezi, Wakimbu, Wanyiramba, Warangi, Wagogo, Wasandawe, Wabembe, Wamaasai, Washambaa, Wangoni, Wakwere, Waarusha, Wabena, Wandali, Wamakua, Wazinza, Wasafwa, Wahangaza, Wataturu, Wanyaturu, Wanyantuzu, Wapare, Wasumbwa, Wadigo, Wabondei, Wambugu n.k..
 
Wagogo - Omba-omba
Wamasai - Kolokoloni
Wajita - Majivuno, wambea
Waha - Wabishi
 

tusaidie sifa zetu hayo makabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…