13. Wapare- umalaya ,nakupenda kesi blue nimeongeza ila red mzee umenigusa naona ulishafanya utafitiNimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.
1. Wachagga-wezi
2. Wafipa-wachawi
3. Wazaramo- majungu
4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
5. Wahehe- kujinyonga
6. Wakurya- ukatili
7. Wajaluo- roho mbaya
9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
10. Wanyiha- wauaji
11. Wakinga- wachawi
12. Wasukuma - wachawi
Jamani mmetoa wapi hii maneno mbofu mbofu 😀
Ni wakarimu na wachapakazi sana, wanasaidiana na wanashirikiana kwa shida na raha.SIFA NZURI
1. Wachagga-wanasaidiana, wanainuana kimaisha, wanafundishana kuendelea
2. Wafipa- (sijawahi kuwa na rafiki mfipa so sijui..)
3. Wazaramo- wanashirikiana kwa shida na raha
4. Wanyakyusa- wakarimu
5. Wahehe- wachapakazi
6. Wakurya- wakarimu na wacheshi
7. Wajaluo- wachapakazi
9. Wahaya- wanasaidiana, wanaelimishana
10. Wanyiha- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
11. Wakinga- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
12. Wasukuma - wakarimu, wanasaidiana
Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.
12. Wasukuma - wachawi
SIFA NZURI
1. Wachagga-wanasaidiana, wanainuana kimaisha, wanafundishana kuendelea
2. Wafipa- (sijawahi kuwa na rafiki mfipa so sijui..)
3. Wazaramo- wanashirikiana kwa shida na raha
4. Wanyakyusa- wakarimu
5. Wahehe- wachapakazi
6. Wakurya- wakarimu na wacheshi
7. Wajaluo- wachapakazi
9. Wahaya- wanasaidiana, wanaelimishana
10. Wanyiha- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
11. Wakinga- (sijawahi kuwa na rafiki wa huko so sijui...)
12. Wasukuma - wakarimu, wanasaidiana
craP CRAP,,LETE UTHIBITISHO HAPAWapare sio wabahili tu mpaka wanashika chupi mukononi yaani ukiomba usitegemee kunyimwa
HUO NI WIVU TU HAKUNA UKWELI . SO WE CALL UTUMBO OR CRAP13. Wapare- umalaya ,nakupenda kesi blue nimeongeza ila red mzee umenigusa naona ulishafanya utafiti
Kwa Wahaya nakubali hilo la kujisifu. Ila hilo la umalaya nina wasiwasi. Labda tupate kwanza "operational definition" ya "umalaya"
Pasco utakuwa mtu wa huko au umekaa nao sana....ni kweli uliyo yasema, lakini wasukuma wamegawanyika vipi wanyatuzu huko wa mzee mapesa ni sawa na kwa Shibuda..Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.
Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema
1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.
2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.
3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.
4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.
5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.
6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji
7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.
Mazuri yao.
Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!
Angalizo: Mimi sio Msukuma!.
Wamakua na Wamakonde - "Somo kunyima ntu huku kitu unacho baaa...wakati we umepewa buree..."
Hapo kwenye namba mbili nakataa sio kweli!Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.