Sifa kuu za Mwanamke High Class ni hizi!

Sawa, kuna kujitegemea, ambapo wanawake wengi sasa hivi sio tegemezi, wanawajibika kwao na watu wao.

Ila kuwa classic kama ulivyosema ni zaidi ya kujitegemea mkuu, kuwa classic ni pamoja na kumiliki vitu fulani ambavyo mwanamke wa kawaida anayejitegemea hana. Yaani hadi uambiwe Espy_ wangu ni classic lady( of which she is) kuna vitu anavyo, anamiliki, na vinamfanya awe juu kidogo ya hawa ambao wanajitegemea ndio, lakini ni level ya kawaida, haiwafanyi kuwa classic.

Mkuu Class sio lazima uwe na gari au vitu vikubwa vya gharama.
Hapo ndio wengi wanapokwama.

Ukishaweza kujitegemea yaani mahitaji yako ya msingi hayakusumbui kuwa Classic ni rahisi.

Wengi hufikiri kuvaa suti sijui makorokoro fulani ndio kuwa Classic hapana. Unaweza kuvaa nguo za kawaida lakini ziwe safi, nadhifu, zimenyooshwa vizuri na rangi sahihi na ukawa Classic kuliko mwenye vitu vikubwa.

Ingawake ukuwa na vitu vikubwa na ukawa Classic inaongeza mng'ao
 
Sasa jamani unakuwa high class halafu unapanda bodaboda?🤣🤣 Sio kweli
 
Huo ni mtazamo tuu.

Unaweza ukawa High Class lakini unapanda baiskeli, bodaboda au bajaji au hata kutembea kwa mguu.

Vijana wapewe elimu na hapa nazungumzia True Education
 
Uwe unapanda kwa kupenda sio kwa sababu ndio hiyo pekee unayoweza kuimudu

Maisha ni vile unavyoyamudu sio vile unavyoyapenda.

Lazima niwape True Education.

Ukileta mapenzi kwenye maisha automatically lazima uteseke. Kwa sababu hata ukitimiziwa yale unayofikiri unayapenda bado utataka mengine usiyokuwa nayo
 
Sawa, kuna kujitegemea, ambapo wanawake wengi sasa hivi sio tegemezi, wanawajibika kwao na watu wao.

Ila kuwa classic kama ulivyosema ni zaidi ya kujitegemea mkuu, kuwa classic ni pamoja na kumiliki vitu fulani ambavyo mwanamke wa kawaida anayejitegemea hana. Yaani hadi uambiwe Espy_ wangu ni classic lady( of which she is) kuna vitu anavyo, anamiliki, na vinamfanya awe juu kidogo ya hawa ambao wanajitegemea ndio, lakini ni level ya kawaida, haiwafanyi kuwa classic.
Babe naona unajipakulia minyama🤣
 
Ukianza kumwona mwanamke ana akili nyingi, high class sijui anajitambua basi uanaume wako upo shakani... ni mwanaume usiyejiamini mbele ya mwanamke. Hakuna cha high wala low class.. ukimtaka mwanamke hizo class zake zipuuze.
 
ukiwa mwanaume wa shoka kama Mimi mwehu ndama, wanawake wote unawaona sawa tu .hata hao so called high class women lazima warudi wenyewe kwenye default settings za wanapokutana na chuma kama mimi
Hawa watibeli ni dhaifu sana mbele ya wanawake.
 
Ukianza kumwona mwanamke ana akili nyingi, high class sijui anajitambua basi uanaume wako upo shakani... ni mwanaume usiyejiamini mbele ya mwanamke. Hakuna cha high wala low class.. ukimtaka mwanamke hizo class zake zipuuze.

Huwezi puuza social class za watu kwenye jamii.
Iwe unamtaka au humtaki.

Watu wanaishi kimadaraja. Na madaraja yote ni muhimu na yanategemeana
 
Zamani nilikuwa na mtazamo wa kidhaifu kama wewe. Nilipouacha nikajikuta naona wanawake wote ni sawa.

Unajaribu kusema zamani ndio ulikuwa unauwezo wa kufikiri sana tofauti na sasa.

Wanawake wote hawawezi kuwa sawa. Hata mtoto mdogo hilo analijua.

Yapo mambo ambayo wapo sawa lakini yapo maeneo ambayo sio sawa kabisa. Na sababu za kisayansi na kiimani zipo kama utahitaji utapewa
 
Kwa Tz bado ni wachache sana. Kwa wanaokandamizwa kiuchumi, kielimu, kijamii siwalaumu. Ila pia kuna kundi kubwa la wanaojiweza kiuchumi na kielimu ambao wana ulimbukeni mwingi. Wana mashindano, wanaamini kutokujiheshimu ni uhuru na kuheshimu ni kuabudu. Hawa ni vichomi kwa jamii.
 
Huo ni mtazamo tuu.

Unaweza ukawa High Class lakini unapanda baiskeli, bodaboda au bajaji au hata kutembea kwa mguu.

Vijana wapewe elimu na hapa nazungumzia True Education

Uwe high class upande bodaboda???? mmmh!!!! mi na umaskini wangu sijui kama naweza kupanda pikipiki
 
Bodaboda inashida gani?
Au unazungumzia usalama?

Watu wanapanda baiskeli unazungumzia bodaboda.

Kuwa classic sio kuwa na utajiri au mali nyingi
 
Back
Top Bottom