Sifa kuu za Mwanamke High Class ni hizi!

Sifa kuu za Mwanamke High Class ni hizi!

ukiwa mwanaume wa shoka kama Mimi mwehu ndama, wanawake wote unawaona sawa tu .hata hao so called high class women lazima warudi wenyewe kwenye default settings za unyenyekevu wanapokutana na chuma kama mimi

Unyenyekevu ni sifa ya mtu yeyote classic. Sio mwanaume sio mwanamke.
 
ukiwa mwanaume wa shoka kama Mimi mwehu ndama, wanawake wote unawaona sawa tu .hata hao so called high class women lazima warudi wenyewe kwenye default settings za unyenyekevu wanapokutana na chuma kama mimi
100% perfect, na hii huhitaji kuwa na hela, You just need to possess the Alpha Male C-ristics
 
Nimeandika asiwe tegemezi. Yaani ajitegemee
Sawa, kuna kujitegemea, ambapo wanawake wengi sasa hivi sio tegemezi, wanawajibika kwao na watu wao.

Ila kuwa classic kama ulivyosema ni zaidi ya kujitegemea mkuu, kuwa classic ni pamoja na kumiliki vitu fulani ambavyo mwanamke wa kawaida anayejitegemea hana. Yaani hadi uambiwe Espy_ wangu ni classic lady( of which she is) kuna vitu anavyo, anamiliki, na vinamfanya awe juu kidogo ya hawa ambao wanajitegemea ndio, lakini ni level ya kawaida, haiwafanyi kuwa classic.
 
Back
Top Bottom