Kuna mambo mawili
Kukaa kwenu kwako
Na kukaa kwenu .
Mfano unaweza kuwa unakaa kwenu Ila ukawa wewe ndo main provider.
Kuanzia Chakula
Kulipa Bills zote
Kufanya maboresho n.k
Matibabu ya wazazi ,pocket money n.k
Hiyo sio mbaya
Ila mbaya ni kukaa kwenu kwa lengo la kupata unafuu Kama chakula ,kodi na bills nyingine .
So to me ambao wanabidi kukaa kwako ni wale niliowataja mwanzo.
Na ukikaa kwenu akili inadumaa na kuendelea kuwa na akili ya kitoto Kama ilivyo vijana wa uswahilini ambao wanagombania Maghofu ya urithi .