Sifa hizi zikufanye ukajitegemee

Sifa hizi zikufanye ukajitegemee

Hufai kua mzazi nyinyi ndio mnapiga mimba kisha mnazikimbia, shenzitaipu
Jaribu kuwa mzazi tuone kizazi chako. Unataka wazazi wako wakupe mtaji wakati wewe huna Wala kuanzisha cha kwako. Kutwa umevaa kibukta au dela unaburuza matende nyumbani kwa wazazi wako
 
Kumezuka katabia kawatu kukataa huu ushauri sjui ni kwanini

Lakin hao wote waliokataa unakuta hawapo kwao
 
tutaftie pakukaa sasa mnataka tuibe? .ilisikika sauti ya mlevi mmoja kifuani mwa limshangazi flani kivu huko.
 
Kumezuka katabia kawatu kukataa huu ushauri sjui ni kwanini

Lakin hao wote waliokataa unakuta hawapo kwao
Wanafahamu maisha yakujitegemea pasina mipango yoyote. Kijana anahitaji saport ajitegemee either alipiwe chumba miezi kadhaa na vitu fln vya ndani na ataftiwe kibarua atlest aingize laki kwa mwezi sasa mnataka wajitegemee hovyo? Mnawatakia nini watato wa afumbili???
 
Back
Top Bottom