Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Gombania goli ndio nini? Watatumia taa kama ambavyo wangetumia taa on upper level.
Kwa hiyo kwa watumiajia wa barabara ya morogoro from Kimara na watumishi wa barabara ya manders then watoka Mwenge to kimara,Manzese to mwenge ,foleni itaendelea kuwa kama ilivyo pale Tanzara kwa sasa si ndo hivyo?
 
Sio kweli. Tazara kilichojengwa ni sawa kabisa na picha zilizokuwa pale. Picha hio hapo chini kabla ya ujenzi,View attachment 1338043 hebu sema inatofauti gani na kilichojengwa?
Na hiki hiki ndo kinajengwa ubungo,wameongeza tu daraja moja juu,je hiyo ya tmTazara inaufanisi gani ukilinganisha na hapo kabla?
 
Kwa hiyo kwa watumiajia wa barabara ya morogoro from Kimara na watumishi wa barabara ya manders then watoka Mwenge to kimara,Manzese to mwenge ,foleni itaendelea kuwa kama ilivyo pale Tanzara kwa sasa si ndo hivyo?
Sio hivyo. Kwasababu Tazara kuna flyover moja, na foleni inasababishwa na junction na kituo buguruni. Wakati ubungo kuna flyover mbili zinazopitisha magari ya barabara kuu moja Kwa moja bila kizuizi. Yanayokata Kona ni machache sana hayawezi kuleta kizaazaa kama cha buguruni.
 
Na hiki hiki ndo kinajengwa ubungo,wameongeza tu daraja moja juu,je hiyo ya tmTazara inaufanisi gani ukilinganisha na hapo kabla?
Unauliza tazara ina ufanisi gani?! Waulize wakazi au watumiaji wa hio barabara wakwambie. Mimi huwa natumia nikienda airport nikufahamishe tu kuna unafuu mara 1000 na hapo awali
 
Ubungo.jpg
 
nimekupa kweli,kwa hiyo alidhani mzaramo ni mshamba mpaka akapige picha darajani? Mbona nyerere bridge ni kali kuliko ubungo bridge na still wazaramo hawaendi kupiga picha pale,Au aliwafananisha na wasukuma?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo sie ndio watahalamu wa kupiga picha madarajani enheee[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ilibadili mawazo kuhusu mchoro wa kwanza.
Rejea

Mchoro wa kwanza gharama zilikuwa kubwa sana japo serikali inajitapa ina hela
🙄🙄🙄😏😏😏
 
Kama nitakuwa nimesema uwongo ninaomba radhi kabla. Kinachojengwa sasa hivi Ubungo ni tofauti na kile cha awali. Mwanzoni ilikuwa ni interchange halafu na barabara ilikuwa itoke Ubungo hadi Kibaha. Financing ilikuwa ni partly ya WB na partly fedha za ndani.

Kutokana na sera za Jiwe kukataa kuwafidia waliobomolewa nyumba zao ikiwa ni pamoja na kudharau mazuio ya Mahakama juu ya kuwabomolea wamiliki wa nyumba hizo, WB walijitoa kufadhili kwa kuwa taratibu zinawakataza. Taratibu za WB zinakataza kujuhusisha na mradi wowote unao kandamiza haki za binadamu.

Baada ya hapo Serikali ikaamua kuwa kwa vile "unga hautoshi basi tukoroge uji badala ya kupika ugali" kwa kuwa ingredients ni hizo hizo na sufuria liko jikoni. Ndiyo maana mradi wa barabara unaishia Kibamba, na interchange imekuwa daraja juu ya daraja.

Kama nimekosea naomba radhi
 
Kama nitakuwa nimesema uwongo ninaomba radhi kabla. Kinachojengwa sasa hivi Ubungo ni tofauti na kile cha awali. Mwanzoni ilikuwa ni interchange halafu na barabara ilikuwa itoke Ubungo hadi Kibaha. Financing ilikuwa ni partly ya WB na partly fedha za ndani.

Kutokana na sera za Jiwe kukataa kuwafidia waliobomolewa nyumba zao ikiwa ni pamoja na kudharau mazuio ya Mahakama juu ya kuwabomolea wamiliki wa nyumba hizo, WB walijitoa kufadhili kwa kuwa taratibu zinawakataza. Taratibu za WB zinakataza kujuhusisha na mradi wowote unao kandamiza haki za binadamu.

Baada ya hapo Serikali ikaamua kuwa kwa vile "unga hautoshi basi tukoroge uji badala ya kupika ugali" kwa kuwa ingredients ni hizo hizo na sufuria liko jikoni. Ndiyo maana mradi wa barabara unaishia Kinamna, na interchange imekuwa daraja juu ya daraja.

Kama nimekosea naomba radhi
Sasa magufuli ameamua kukoroga uji kwa faida ya nani? haoni kama siku tukiamua kusonga ugali gharama itakuwa kubwa zaidi kwa maana ya gharama za uji plus gharama za ugali? Huyu mtu ni janga la nchi yetu sema tu basi ni Tanzania
 
Wewe mleta mada unatumia Wo Wo Wo kuwaza kama anachofanya rais hakikuingii achana nacho fanya mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu serikali haifanyi kazi,mimi na wewe ndo tunaamka saa kumi na moja alfajiri kwenda kusaka pesa,sasa unapotafuta pesa kwa tabu hivyo then kile kilichopatikana kikatumiwa hovyo na mtu huku wewe ukitazama, hiyo akili yako kama si akili ya maiti itakuwa nini?
 
Back
Top Bottom