Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Unauliza tazara ina ufanisi gani?! Waulize wakazi au watumiaji wa hio barabara wakwambie. Mimi huwa natumia nikienda airport nikufahamishe tu kuna unafuu mara 1000 na hapo awali
Ila sisi tunaotoka centenary na buguruni huo unafuu hatujawahi kuupata,yaani folen inaanziaga kwa sokota na sometimes mapanda njia ya changombe/serengeti breweries
 
Ila sisi tunaotoka centenary na buguruni huo unafuu hatujawahi kuupata,yaani folen inaanziaga kwa sokota na sometimes mapanda njia ya changombe/serengeti breweries
Poleni
 
asante mkuu kwaka picha ka madaraja yetu aka interchange kwa lugha ya kiccm ccm
According to interchange definition, Ubungo qualifies as an interchange coz it has three levels
Screenshot_20200128-150236.png
 
nimekupa kweli,kwa hiyo alidhani mzaramo ni mshamba mpaka akapige picha darajani? Mbona nyerere bridge ni kali kuliko ubungo bridge na still wazaramo hawaendi kupiga picha pale,Au aliwafananisha na wasukuma?
Dont take it seriously,hao ni watani zake
Hukumbuki aliwaambia kama hawana 200 ya kuvuka magogoni wapige mbizi tu
 
Si usubiri mkuu haraka ya nini?
Wewe unategemea zaidi ya hilo pale,option pakee iliyobaki ni kuchimba chini na kuweka madaraja ila nakuna dalili ya hilo
 
Kile kinachoendelea pale ubungo ni UCHAFU si fly over,nimekuwa nikisema kila siku ni mara mia moja lile daraja la mfugale pale Tazara kuliko huu UCHAFU unaoendelea kujengwa pale Ubungo.

Moja wapo ya maendeleo ya miji na majiji ni kupendezesha miji hiyo na majiji hayo kupitia barabara nzuri na majengo mazuri,sasa kila nkifiria kile kinachoendelea pale Ubungo ndo maana nasema ule ni UCHAFU,haiwezekani leo tupo kwenye dunia ya maendeleo na kasi ya kulipendezesha jiji la Dar es salaam tunaenda kujenga ule UJINGA,pale ilipaswa lipigwe flyover la maana ambalo Nchi zote za Afrika Mashariki wangekuja kujifunza bongo,ule ni UCHAFU, UCHAFU, UCHAFU, UCHAFU mpaka Aibu!!,
Nimekuwa nkiongea hili mara nyingi lakini cha ajabu wabongo wengi mapunguani na ambao hawajaona flyover wanashadadia kwamba ni Nzuri.
Ule UCHAFU umejengwa bila plan yeyote na ndo maana ukitaka kuangalia wale ambao wanatokea Kimara,Mwenge kuelekea buguruni,kuna njia wameichimba ili magari yasiguse zile nguzo ambazo ni metre 5.3 au 5.5 kama sijakosea,Hauwezi kuchimba barabara ili kuongeza urefu wa mita kwenda juu kama kweli ilikuwa kwenye Plan.

narudia tena kusema ule ni UCHAFU.

CHIFWINOLOGY²
 
Ivi unajua maana ya flyover ww???
Sometimes watu wanaongea bila kujua wanachokiongea
Maana ya flyover ni barabara inayopita juu ya barabara nyingine
Kama ya manzese na buguruni😂😂😂
 
Back
Top Bottom