Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Baadhi ya watanzania akiwemo mleta mada wana mtindio wa ubongo. Uwezo finyu wa kuchanganua mambo na kujenga hoja..unatakiwa kuwa critical. Jiulize, je hizo minor changes (kama zipo) zimebadili purpose nzima ya ujenzi wa hiyo interchange? Alafu tuanzie hapo kujenga hoja.
Wanajamvi,naombeni kuuliza,hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine?nisaidieni please mnaojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sina kapicha Ila naamini kama upo mkoa huwa unakiona hicho kinachojengwa ubungo TBC pale wanapoimba pambio za kusifu awamu ya tano kupitia the so called kishindo cha serikali ya awamu ya Tano
😂😂😂😂 Mkuu wa mapambio
 
Baadhi ya watanzania akiwemo mleta mada wana mtindio wa ubongo. Uwezo finyu wa kuchanganua mambo na kujenga hoja..unatakiwa kuwa critical. Jiulize, je hizo minor changes (kama zipo) zimebadili purpose nzima ya ujenzi wa hiyo interchange? Alafu tuanzie hapo kujenga hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe hata interchange yenyewe huijui then unaanza kushambulia wenzako kwamba tunamtindio wa akili na uwezo finyu wa kuchanganua mambo na wakati huo huo tukishindwa kujua kuwa interchange ni zaidi ya daraja na kwa maana hiyo is more efficiently than daraja sasa tunakusaidiaje sisi? Anyway kajifunze pale daraja la nyerere kigamboni kwenye makutano ya barabara ya Mandela probably utapata idea ya kile nachojaribu kusema badala ya kujimwambafay for nothing
 
Serikali ilibadili mawazo kuhusu mchoro wa kwanza.
Rejea

Mchoro wa kwanza gharama zilikuwa kubwa sana japo serikali inajitapa ina hela
Ooh tulikosa pesa hapo,mjenzi hawezi akabadirisha Rama Ramani ya mwenye nyumba kama mpunga wa kumlipa na wakununua material yanayohitajika ukiwa nayo.Basi mchina asivunje ile round about pale chini maana akiweka mataa tu,foleni kwa barabara za morogoro ukitokea Mbezi na barabara ya Mandela zitabaki kama zilivyo sasa
 
Ukiangalia kwenye video ya kwanza iliyokaletwa nadhani designer alikuwa mwarabu, yeye aliweka makutano ya taa level 2 na level 3 ilikuwa ya moa kwa moja kutoka Mandela kwenda Mwenge, level ya chini ilikuwa ya moja kwa moja Kimara kwenda mjini. kuweka makutano level ya pili ilikuwa na madaraja nane, mawili kutoka kila njia na kuunganika katikati kwenye makutano. Hii ya sasa ya mchina level ya tatu imebaki vilevile, level ya 2 imekuwa ya moja kwa moja kimara kwenda mjini iliwa na madaraja manne kupisha vituo vya mwendo kasi ubungo na ubungo maziwa, sehemu ya makutano imeshushwa level ya chii kabisa, kwa hiyo kunapunguza mikia ya madaraja kutoka nane mpaka manne. Kwangu mimi zote ni design nzuri, mchina alichofanya ni kupunguza gharama.
 
Kwani lengo ilikuwa nini? kupunguza gharama au kuondoa foleni ubungo?
 
kwani lengo ilikuwa kupunguza foleni au gharama?
 
Mie hata sielewi.. Pale mfugale walituambia ni flyover, kumbe ni MFUGALE BRIDGE

Ivi unajua maana ya flyover ww???
Sometimes watu wanaongea bila kujua wanachokiongea
Maana ya flyover ni barabara inayopita juu ya barabara nyingine
 
Sasa wewe hata interchange yenyewe huijui then unaanza kushambulia wenzako kwamba tunamtindio wa akili na uwezo finyu wa kuchanganua mambo na wakati huo huo tukishindwa kujua kuwa interchange ni zaidi ya daraja na kwa maana hiyo is more efficiently than daraja sasa tunakusaidiaje sisi? Anyway kajifunze pale daraja la nyerere kigamboni kwenye makutano ya barabara ya Mandela probably utapata idea ya kile nachojaribu kusema badala ya kujimwambafay for nothing

Kigamboni ni interchange
Ubungo project ya kwanza ilikuwa ni interchange ila ya sasa ni flyover mbili
Ya Mfugale ni Flyover

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Basdhi ya wachangiaji wana mitindio ya ubongo na kubisha angali hawajui maana ya Flyover

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lile ni daraja tu.. Hamna kitu cha kusema utapiga picha pale

Back
Top Bottom