Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,720
Labda huna utaalamu wa ujenzi, waulize wataalamu watakujibu. Kuna mtu aliuliza hajui kinachoendelea wakati wa ujenzi wa barabara za mwendo kazi, eti wanapwaruza tu na kuharibu barabara. Mwishowe kikatokea kitu cha uhakika na magari yanachapa mwendo. Tulia mwisho wa siku utaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app