Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Wanajamvi,naombeni kuuliza,hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine?nisaidieni please mnaojua
Kinachojengwa ubungo basically ni kile kile ila.. kuna mabadiliko madogo. Level ya pili imepelekwa chini, na level ya chini imekuwa ya pili. Mwanzoni level ya pili ilikuwa ya magari yanayokata Kona kutoka kimara kwenda buguruni na kutoka Mwenge kwenda kimara, kutoka buguruni kwenda posta na kutoka posta kwenda Mwenge.
Kwa hii ya pili pale mwanzo ilikuwa na complication nyingi na ndio Wabongo tunapenda,ule muingiliano wa barabara za juu.
Kuishusha chini hakubadili ufanisi wake bali umeondoa ule muingiliano wa barabara juu Kwa juu (kuokoa pesa) kitu ambacho Wabongo tunapenda.
 
Hata ya Tazara na tofauti na picha za awali
 
Karaga baho!!!!
 
Flyover ni barabara juu ya barabara.. Mfano ni ile ya Mfugale pale Tazara.

Interchange ni barabara za juu zinazoingiliana.. Mfano ni ile ya Ubungo pale inayoendelea kujengwa.

Daraja ni kivuko. Mfano pale Kigamboni lile ni Daraja japo mtu anaweza kujengea hoja kuwa ni flyover na bado akawa sahihi.

Pamoja na watu kubeza, angalau tunabishana kwenye vitu vinavyoonekana. Haya ni maendeleo.
 
kwa hiyo kwa sasa watu wa kutoka kimara kwenda buguruni na kutoka buguruni kwenda manzese as well as watu wakutoka mwenye kwenda kimara na kutoka manzese kwenda mwenge inabidi wafanye gombania goli kama ilivyo sasa hivi kwa sababu tunataka kupunguza gharama?je ile ya mwanzo ililetwa na beberu au? au serikali hii yenye pesa nyingi ndo imeamua kubana pesa ili gombania goli iendelee?Je Magufuli alikuwa ana maanisha wazaramo wataenda kupigia picha kwenye haya madaraja?
 
Kwa sisi mkuu tuliopata kuona interchange za wenzetu kama ile ya ubungo ndo interchange kwa standard za ccm yetu basi sisi tunaelimu ya pekee yetu na akili za pekee yetu.Nikipata nafasi ntakuwekea kitu kimoja kilichopo Wisconsin pale Milwaukee au kitu kimoja cha Amsterdam angalau uoshe macho
 
Kwani wazaramo wako Dar, hao walishasukumwa Msanga na Maneromango
nimekupa kweli,kwa hiyo alidhani mzaramo ni mshamba mpaka akapige picha darajani? Mbona nyerere bridge ni kali kuliko ubungo bridge na still wazaramo hawaendi kupiga picha pale,Au aliwafananisha na wasukuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamba ni nini?
 
Kwa sisi mkuu tuliopata kuona interchange za wenzetu kama ile ya ubungo ndo interchange kwa standard za ccm yetu basi sisi tunaelimu ya pekee yetu na akili za pekee yetu.Nikipata nafasi ntakuwekea kitu kimoja kilichopo Wisconsin pale Milwaukee au kitu kimoja cha Amsterdam angalau uoshe macho

Hilo ndio tatizo. Mnataka kufananisha/kulinganisha. Lazima mpate tabu.

IST na V8 yote ni Magari ila hayafanani kwa uwezo na hadhi. Sio kila mtu anaweza kumiliki V8. Na wapo hata IST hawana uwezo wa kuimiliki. Kuna nchi hapa hapa Afrika hazina flyover wala interchange kama hizi zetu japo robo yake. Sijui kwanini tunajidharau?

Mantiki yangu, interchange ya Ubungo ni interchange hata kama ni ya bei rahisi au viwango vya chini ukilinganisha na hizo za huko Amsterdam.

Kichwa kama dafu!
 
kwa hiyo kwa sasa watu wa kutoka kimara kwenda buguruni na kutoka buguruni kwenda manzese as well as watu wakutoka mwenye kwenda kimara na kutoka manzese kwenda mwenge inabidi wafanye gombania goli kama ilivyo sasa hivi kwa sababu tunataka kupunguza gharama?je ile ya mwanzo ililetwa na beberu au? au serikali hii yenye pesa nyingi ndo imeamua kubana pesa ili gombania goli iendelee?Je Magufuli alikuwa ana maanisha wazaramo wataenda kupigia picha kwenye haya madaraja?
Gombania goli ndio nini? Watatumia taa kama ambavyo wangetumia taa on upper level.
 
Hata ya Tazara na tofauti na picha za awali
Sio kweli. Tazara kilichojengwa ni sawa kabisa na picha zilizokuwa pale. Picha hio hapo chini kabla ya ujenzi,
Screenshot_20200128-125455.png
hebu sema inatofauti gani na kilichojengwa?
 
Kwa sisi mkuu tuliopata kuona interchange za wenzetu kama ile ya ubungo ndo interchange kwa standard za ccm yetu basi sisi tunaelimu ya pekee yetu na akili za pekee yetu.Nikipata nafasi ntakuwekea kitu kimoja kilichopo Wisconsin pale Milwaukee au kitu kimoja cha Amsterdam angalau uoshe macho
Uzuri ni lazima utofautiane! Kuna wenye tecno na kuna wenyr iphone X ila wote wana smartphone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom