Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
7,877
Reaction score
8,812
Wanajamvi,

Naombeni kuuliza. Hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake Wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine? Nisaidieni please mnaojua.
 
Wanajamvi,naombeni kuuliza,hivi kile kitu kinachochengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine?nisaidieni please mnaojua
mkuu sindikiza na ka picha kiaina bana, inakuaje..!?
 
Wanajamvi,naombeni kuuliza,hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine?nisaidieni please mnaojua
Kwani umeona nini
 
Hayo ndio makosa yenu watz ya kuwapigia makofi akina magu hadi wanawaona wajinga mna kazi kubwa.
 
Serikali ilibadili mawazo kuhusu mchoro wa kwanza.
Rejea

Mchoro wa kwanza gharama zilikuwa kubwa sana japo serikali inajitapa ina hela
 
Back
Top Bottom