baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,396
- 17,579
Huyu Mwigulu ndoAngalau Mwigulu naweza kusema nje ya siasa za kijinga ila ana utaalamu wa masuala ya fedha. Huyo mwingine sijui walimtoa wapi.
aliua mfuko wa road fund
Huyu Mwigulu ndoAngalau Mwigulu naweza kusema nje ya siasa za kijinga ila ana utaalamu wa masuala ya fedha. Huyo mwingine sijui walimtoa wapi.
Mimi nipo serikalini, naweza kukuhakikishia Mwigulu nje ya hizi siasa za majitaka ni mtu poa sana.Huyu Mwigulu ndo
aliua mfuko wa road fund
Hahaha wenye Nchi waache mambo yaoHiki kipande cha Barabara ya Sam Nujoma kutokea Mwenge hadi Mlimani hadi kule karibia na simu2000 why hakikamiliki?
Kipande cha Mwenge Tegeta jamaa sijui wanajenga vipi yaani nashindwa kuelewa watamaliza lini maana ni kero
Ule mradi ukikamilika utasababisha foleni kubwa sana
Sam Nujoma hakua na foleni kivile, ila baada ya huu mradi kibarabara kitabaki kuwa chembemba sana na tujiandae kwa foleni kubwa.Mtu unadrive hadi huoni raha ya kumiliki gari?
Barabara wameziminya sana.
Pale Mwenge sijui wanajenga nini maana hapakamiliki, halafu wanajenga wanaacha viraka then wanahamia pengine, kuna kituo nimeona hadi washapaua na mabati kabisa!! Sielewi jamaa wanajenga nini pale!! mwenge pamekua kama sehemu ya majaribio tu, kila mwaka fedha zinamwagwa lakini shida haiishi....Hii kero hadi lini?Wahusika wapo tu au ni kwakua viongozi wao wanapita na ving'ora?
Niwepo kufanya nini Mimi nipo home kwetu Mkuranga🤣Wenzio jana walikua tel aviv kwenye parade, vipi naww ulikuwepo?
huyo mwingine ni msomi toka chuo kikuu cha dar,ana digrii ya elimu ya bahati na viumbe vyakeAngalau Mwigulu naweza kusema nje ya siasa za kijinga ila ana utaalamu wa masuala ya fedha. Huyo mwingine sijui walimtoa wapi.
Mbona amekaa kitapeli tapeli sanahuyo mwingine ni msomi toka chuo kikuu cha dar,ana digrii ya elimu ya bahati na viumbe vyake
Upoa wake ukoje labda nachokijuaMimi nipo serikalini, naweza kukuhakikishia Mwigulu nje ya hizi siasa za majitaka ni mtu poa sana.
Ni msomi tena mwenye uwezo mkubwa sana,sasa kuhusu kazi ndio sijuiMbona amekaa kitapeli tapeli sana
Basi he is underperformingNi msomi tena mwenye uwezo mkubwa sana,sasa kuhusu kazi ndio sijui
Hawa wakina ChoiceVariable Stuxnet barabara kwao huko kijiji kikubwa cha Mbeya inajengwa mwaka wa tano sasa na haina hata dalili za kukamilikaDar Yote Tatizo Wamebomoa Barabara Yaani Kila Siku Ujenzi January Mpaka December Hawakamilishi
KKuna Mradi Mmoja Nao Hovyo
kutoka Lusahunga Mpaka Rusumo
KKilometers Zaidi Ya 100 Mkandarasi Kachimbua Barabara Halafu Anajenga Atakavyo
Pesa walimalizia kwenye uchaguziHiki kipande cha Barabara ya Sam Nujoma kutokea Mwenge hadi Mlimani hadi kule karibia na simu2000 why hakikamiliki?
Kipande cha Mwenge Tegeta jamaa sijui wanajenga vipi yaani nashindwa kuelewa watamaliza lini maana ni kero
Ule mradi ukikamilika utasababisha foleni kubwa sana
Sam Nujoma hakua na foleni kivile, ila baada ya huu mradi kibarabara kitabaki kuwa chembemba sana na tujiandae kwa foleni kubwa.Mtu unadrive hadi huoni raha ya kumiliki gari?
Barabara wameziminya sana.
Pale Mwenge sijui wanajenga nini maana hapakamiliki, halafu wanajenga wanaacha viraka then wanahamia pengine, kuna kituo nimeona hadi washapaua na mabati kabisa!! Sielewi jamaa wanajenga nini pale!! mwenge pamekua kama sehemu ya majaribio tu, kila mwaka fedha zinamwagwa lakini shida haiishi....Hii kero hadi lini?Wahusika wapo tu au ni kwakua viongozi wao wanapita na ving'ora?
Mambo mazuri hayahitaji haraka. Hata Nyerere Rd kuna muda 2021-24 walisota sana, sasa wana enjoyHawa wakina ChoiceVariable Stuxnet barabara kwao huko kijiji kikubwa cha Mbeya inajengwa mwaka wa tano sasa na haina hata dalili za kukamilika
Yanahitaji haraka, achaneni ni misemo ya kipumbavu ya Kiswahili ya kwenye khanga.Mambo mazuri hayahitaji haraka. Hata Nyerere Rd kuna muda 2021-24 walisota sana, sasa wana enjoy
Hata kupinga pinga kila kitu cha Serikali bila sababu ni upumbavu kiwango cha dreamlinerYanahitaji haraka, achaneni ni misemo ya kipumbavu ya Kiswahili ya kwenye khanga.