Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,124
- 10,879
umewaza kama mimiHii ndege majaribio yake ya kwanza inabidi ibebe viongozi wa serikali na wa bungeni.
umewaza kama mimiHii ndege majaribio yake ya kwanza inabidi ibebe viongozi wa serikali na wa bungeni.
Wabebe kwanza watumishi wa SIDO na familia zao.....ndani ya miezi 6 kwanzaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
Wanataka waue watu?Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
tangu nianze kuisikia hata baiskeli hawajaweza, wakati congo huko kuna watu wanaishi na kutengeneza pesa kwa baiskeli za miti. hata huwa sijui mainjinia wa vyuo vyetu ambao wengine wanakuwa hadi maprofesa,wanasomeaga nini.Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
Hii lazima uzinduzi afanye Mwenyekiti wa CCM ( DSM - MZA)Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
OkayHawa wanajua kutengeneza cherehani tu.
Hata drone ya kupiga picha hawawezi wataweza Jumbo Jet? Wahuni tu hao.Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
VX jipyaaa kwa MkurugenzHata drone ya kupiga picha hawawezi wataweza Jumbo Jet? Wahuni tu hao.