Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Nyie SIDO hebu wacheni mzaha basi....
Yani mnachekesha hadi walionuna..
 
Something is amiss with us Tanzanians.

Imagine the most trustworthy aerospace and aeroplane manufacture in the world “Airbus” has failed with its A380 aeroplane which was capable of carrying 450-800 passengers depending on customer specifications.

The plane which wasn’t taken off the production line in 2021 due to technical concerns but rather due to inability of many global airports capability to host it.

Halafu nchi ambayo haina hata facility ya ku-test aeroplane engine (hizo engine kabla ya kupachikwa kwenye ndege zinapitia exhausting testing) saa zingine masaa 24 of running.

Given the challenges of building such an airplane, in a country which doesn’t even have an engine laboratory; how can a sane person believe such an idiocy SIDO is capable of building a plane which can carry 500 passengers.

Only fools who don’t understand what’s a payload on flight engineering can believe that.

Like serious watanzania tunashida, hivi mtu na akili zako timamu unawezaje amini SIDO ina uwezo wa kujenga ndege ya kubeba watu 500. In this era ukienda you tube tu kuna engineering documentary za kila aina.

The ignorance in Tanzania is a problem
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
Ni sawa... Lakini wangeanza hata ndege ya mtu mmoja!
 
Hata tairi ya bajaji tu hawajaweza kutengeneza leo wanaota kutengeneza Jumbo Jet, haya ni maajabu ya dunia.
Shida zaidi ni watu wanaopongeza huu ujinga.

Dunia ya leo unaweza google kuona kampuni zinazotengeneza engine ye ndege, sio nyingi; amongst them ni “Rolls Royce” ina supply engines za Airbus as well as Boeing main aeroplane manufacturers.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ho7j8OLV1fk&pp=ygUecm9sbHMgcm95Y2UgZW5naW5lIGRvY3VtZW50YXJ5&ra=m

Ukienda YouTube kuna documentaries kadhaa za mchakato wa kutengeneza engine na aeroplane bodies. They go through severe (wear and tear) testing.

Nchi ambayo haina hata uwezo wa kutengeneza bati na kulipa test ya mazingira ya angani; halafu kusema inauwezo wa kutengeneza ndege ya kubeba watu 500 (to understand the degree of difficulty inabidi utafute documentary to why Airbus decided to abandon A380).

Like ni mataahira gani 60 waliyoipa like hii mada and based on what appreciation; lazima mmoja wetu atoke aseme kiwango cha ujinga wa watanzania kinatisha.

How stupid do you have to be kuamini SIDO inauwezo wa kutengeneza ndege ya kubeba watu 500.

Seriously, like how stupid are you,
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
Siku ya uzinduzi apande Samia na viongozi wote wa CCM akiwemo Kabudi na Chande kutoka Dar hadi Dodoma.
 
Ipo tayari au vipi tuwaonyeshe watu wa kupanda ili kuizindua hiyo ndege

Samia
Mombo
Mkunda
Mwigulu
Pinda
Uongozi wote wa polisi
Wakuu wa mikoa wote kasoro mtaka na wakuu wa wilaya wote
 
Ipo tayari au vipi tuwaonyeshe watu wa kupanda ili kuizindua hiyo ndege

Samia
Mombo
Mkunda
Mwigulu
Pinda
Uongozi wote wa polisi
Wakuu wa mikoa wote kasoro mtaka na wakuu wa wilaya wote
Bila kusahau CC yote ya CCM.
 
Hao wenzetu tuu wenye uwezo wa kutengeneza hizo ndege, kutengeneza za kubeba hiyo idadi ni kipengele

Ndo ije bongo tena sido 😂
 
H haina tofauti na siasa za kujenga uwanja wa Yanga 😂
Mipango mingi, utekelezaji 0
 
H haina tofauti na siasa za kujenga uwanja wa Yanga 😂
Mipango mingi, utekelezaji 0
 
Kwenye majaribio wapandishwe makada kwenda dodoma kwenye mkutano mkuu wa chama
 
Back
Top Bottom