Hapana naelimisha umma hebu tuambie basi nini maana ya jembe.
jembe ni pamoja na mpini wake, huyo mleta uzi amepotosha tu. #JustSayingMi nadhani jembe ni pamoja na mpini wake! Bila mpini hakuna jembe [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=JustSaying]#JustSaying [/URL] #
Kwa wale mnaowaita wenzenu jembe nawashauri muache maana huu msemo kwangu nauchukulia kama tusi
Hebu jaribuni kufikiria jembe liko je au lina sifa gani.
Msikubali jamani kuitwa jembe mtu akikuita jembe pasua kichwa maana jembi kwa kawaida lina tundu ambalo mpini unaingia, Je nawewe uko hivyo?
Bila kutiwa mpini jembe haliwezi fanya kazi.
Je wale mnaokubali kuitwa jembe mna sifa kama hizo hapo juu, yaani hamfanyi kazi bila ku**wa mpini!!
Jamani msikubali kuitwa jembe narudia.
Naam Noahim
Mi nadhani jembe ni pamoja na mpini wake! Bila mpini hakuna jembe #justsaying #

Za toka jumapili?
Kwa wale mnaowaita wenzenu jembe nawashauri muache maana huu msemo kwangu nauchukulia kama tusi
Hebu jaribuni kufikiria jembe liko je au lina sifa gani.
Msikubali jamani kuitwa jembe mtu akikuita jembe pasua kichwa maana jembi kwa kawaida lina tundu ambalo mpini unaingia, Je nawewe uko hivyo?
Bila kutiwa mpini jembe haliwezi fanya kazi.
Je wale mnaokubali kuitwa jembe mna sifa kama hizo hapo juu, yaani hamfanyi kazi bila ku**wa mpini!!
Jamani msikubali kuitwa jembe narudia.
Aisee ni nzuri ila kazi za wenyewe zinataka kunipasua kichwa hadi hapa niko ofisini hadi kichwa kinakaribia kupasuka ndo nikaamua nije huku ni refresh kidogo, anyway nitakurudia ngoja nimalizie baada ya lisaa limoja hivi,n goja nimalizie shughuli za kulijenga taifa
jembe ni pamoja na mpini wake, huyo mleta uzi amepotosha tu. #JustSaying