Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?

Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?

Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.

Lakini Inawezekana pia mfumo kuanzia Mwalimu Nyerere ulishamkataa ENL ,alichofanya JK ni kutekeleza tu.

Hivyo nadhani ni bora kuwa na Akiba ya Maneno kuliko kulaumu tu mzee wa watu.

images (16).jpeg
 
Undoubtedly lowassa ni mkubwa kiumri kwa Jk..picha inaongea yenyewe.

Siasa/maisha yana mambo mengi.
Mtu anayediriki kupiga dili na kupata hela za kula maisha yake yote na descendants wake wote hawezi kushindwa suala dogo kama la ku cheat umri.samahani kutoka nje ya mada
 
Hii ni mada mpya kabisa
 
mlishaambiwa fahali wawili hawakai zizi moja..
by the way mnafikiri kwanini aliukosa mara kadhaa na walichengesha kuhakikisha hakalii kile kiti..?
nafikiri kutakuwa na sababu tena kubwa tu! haya maneno lazima mseme na mtakaa kimya mwishowe.
 
Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?

Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?

Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.

Lakini Inawezekana pia mfumo kuanzia Mwalimu Nyerere ulishamkataa ENL ,alichofanya JK ni kutekeleza tu.

Hivyo nadhani ni bora kuwa na Akiba ya Maneno kuliko kulaumu tu mzee wa watu.

View attachment 2907983
Chama chao hakitaki mtu wa kaskazini,aliasisi Nyerere haya mambo
 
mlishaambiwa fahali wawili hawakai zizi moja..
by the way mnafikiri kwanini aliukosa mara kadhaa na walichengesha kuhakikisha hakalii kile kiti..?
nafikiri kutakuwa na sababu tena kubwa tu! haya maneno lazima mseme na mtakaa kimya mwishowe.
Umenena vyema
 
Siasa/maisha yana mambo mengi.
Mtu anayediriki kupiga dili na kupata hela za kula maisha yake yote na descendants wake wote hawezi kushindwa suala dogo kama la ku cheat umri.samahani kutoka nje ya mada
Hivi ulisoma ulichoandika kabla ya kurusha!
Nani alidanganya umri na wapi ilisemwa hiyo!
Shirikisha kichwa badala ya kushirikisha ile kitu ya "Masaburi"
 
Back
Top Bottom