Sidhani afande Tesha yuko nchini

Sidhani afande Tesha yuko nchini

Captain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Mwanangu umewahi kwenda jeshi hata kwa mujibu?
Order ikitoka hata uwe nani lazima order ifanyike ndo baadae mambo ya cheo yafate..
So ikitolewa utembelewe unatembelewa VIZURI SANA.
 
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Kasema Kabla ya tarehe 29 kama mabadiliko hayatokuwa yamefanyika, atarudi tena.. Haijalishi yupo angani au ardhini. Kaisha kiwasha tayari
 
Umesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.
Hiyo movie kama ina baraka zote, ila inachezwa smart sanaaa.. Leo Rostam atshindia maunga yake tu, na airport zinabidi zipigwe pini hakuna kutoka 😅
 
Leo kila kona Teshaa, Teshaaa Teshaaaa!
nimeanza kusoma leo asubuhi uzi uliopandishwa wa kuyajua majina ya kichaga. Jina la Tesha likawa linajirudiarudia sikujua ni nini na jioni hii nakutana na habari za tesha kapasua mbarika! main stream media ziko kimya kuhusu huyo tesha kana kwamba hazijaona!
 
Ile uniform aliovaa sio customised, ni uniform imenunhliwa china akaipachikia embroidery juu yake
 
Umesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.
Col. Mlunga hajawahi kuwa ADC wa Magufuli.
 
Captain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Sio kwa nchi hii,

Unaweza kuanzisha hizo harakati lakini mwisho wa siku unajikuta uko peke yako.

Some soldiers are coward.
 
Mwanangu umewahi kwenda jeshi hata kwa mujibu?
Order ikitoka hata uwe nani lazima order ifanyike ndo baadae mambo ya cheo yafate..
So ikitolewa utembelewe unatembelewa VIZURI SANA.
Order Gani ya private kum arrest Captain?
Captain ni kiongozi mkubwa jeshi ana wanajeshi watiifu kwake
Sasa yule pale kwake Kigamboni nendeni mkamkate
 
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Muda wa ukombozi umewadia
 
Halafu ukute sio afande hata
Screenshot_20251005-123234.jpg
Screenshot_20251005-123251.jpg
Screenshot_20251005-143002.jpg
Screenshot_20251005-123259.jpg
Screenshot_20251005-123412.jpg
 
Captain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Kwamba kazungukwa na wanajeshi Le Capetain....ukitaka kumkamata unakutana na wanaomzunguka.....

Tehteh
 
Kwamba kazungukwa na wanajeshi Le Capetain....ukitaka kumkamata unakutana na wanaomzunguka.....

Tehteh
Hakuna takataka ya kusogea kwake Kigamboni kumkata
 
Sio kwa nchi hii,

Unaweza kuanzisha hizo harakati lakini mwisho wa siku unajikuta uko peke yako.

Some soldiers are coward.
Sio kwa kipindi hiki na tension ya wananchi ipo high
 
..
 
Attachments

  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 13
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 10
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 9
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 11
  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 11
  • images - 2025-04-18T223508.093.jpeg
    images - 2025-04-18T223508.093.jpeg
    10 KB · Views: 12
Back
Top Bottom