Echisute
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 617
- 596
Amen 🙏Mungu mpatie ulinzi Afande ili atimize lili ulilomwitia katika maisha haya.
Amen 🙏Mungu mpatie ulinzi Afande ili atimize lili ulilomwitia katika maisha haya.
Hao ndo wanaume sasa sio nyie wapiga kelele humu na shosti yako Adriz 😹😹Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Haina hata chembe ya AI, niliiamini kweli, wazo likabaki ni mwanajeshi kweli, ila nikaamua kuamini ni mjeda.Mwanzo nilidhani ni Video za AI.
Nilipoona Kanali Benard Malunga ndio nimeamini kumbe ni clip ya binadamu
Hivi huyu jamaa kwa umri kavula 35 kweli?
Tutafutane basi utaste mitambo maamaee kama kweli mimi ni mwanamme au siyo. Yani navyokutamani nitakurukiaHao ndo wanaume sasa sio nyie wapiga kelele humu na shosti yako Adriz 😹😹
Nitamwambia TESHA unataka kubaka wananchi wake 😹😹Tutafutane basi utaste mitambo maamaee kama kweli mimi ni mwanamme au siyo. Yani navyokutamani nitakurukia
😂😂Nitamwambia TESHA unataka kubaka wananchi wake 😹😹
Yuko Nchini, Ile live yake ,hukuwa unasikia Gari la matangazo ,Azana na makelel ya Wabongo???.Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Thunder fire, we subiri uchaguzi uahirishwe hapo tarehe 17 na jeshi lijifanyie mambo yako na maoni yakusanywe siku ya kuhiji tarehe 29/10.Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Duu,kumechangamkaNasikia karudi live..
Mwenye link?
Ametuinua kweli wachaga.
Tuna kuja soon 🤣Kwa lipi?
Shwaini zetu...
Akili yao moja aiseeHao ndo wanaume sasa sio nyie wapiga kelele humu na shosti yako Adriz 😹😹
Zile nyota begani na beji kifuani ni halali kabisa za JWHalafu ukute sio afande hata
HahahaAkili yao moja aisee
Halafu mi najua ni mtu mmoja sema anatuzingua humu 😹😹Akili yao moja aisee
Hajavuka,,,nadhani ana 32, hao ni ile intake ya 2014, walichukuliwa form six mujibu wa sheria waliopata div one sayansi wakapelekwa kusomea military science, mwaka 2016 wakaveshwa nyota moja.Hivi huyu jamaa kwa umri kavula 35 kweli?