Thunder fire, we subiri uchaguzi uahirishwe hapo tarehe 17 na jeshi lijifanyie mambo yako na maoni yakusanywe siku ya kuhiji tarehe 29/10.
People are tiredvery tired mambo yanapangwa na nchi haitatawalika hatua zisipochukuliwa.
Magufuli wanamtreat kama mbwa tu hadi mtoto anagombea ubunge anasema Mama mitano tena aisee. Kweli ukifa unasahaulika, hasa ukiwa sadist.Mbaya kabisa msemaji nae moyo unavuja damu akikumbuka vile magufuli alitendewa