Sidhani afande Tesha yuko nchini

Sidhani afande Tesha yuko nchini

IMG_7470.jpeg
 
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii hayuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere Tu Ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Mungu mpatie ulinzi Afande ili atimize lili ulilomwitia katika maisha haya.
 
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii hayuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere Tu Ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Umesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.
 
Mbaya kabisa msemaji nae moyo unavuja damu akikumbuka vile magufuli alitendewa
 
Back
Top Bottom