Sidanganyiki marufuku?

Ni kweli serikali ya CCM imepiga marufuku lile Tangazo, ila sababu waliyotoa ni kwamba tangazo linapotosha ukweli kwani vitambulisho vya kura havitumiki kwenye chaguzi za serikali za mitaa.

Badala ya sisi kuanza kubeza maamuzi, nadhani tukubali kwamba tangazo linahitaji kuwa sahihi na kubeba maudhui madogo na makubwa kwa usahihi!! wenye tangazo wamemislead na serikali imewanasa kwani ka hakika linawahusu viongozi wengi walio madarakani

cha kufanya ni kuondoa hiyo segment inayoonyesha vitambulisho vya kura vinatumika ili liwe sahihi na kulirudisha hewani, halafu kuiongezea sauti ile sehema ya

SIDANGANYIKIIIIII!!!!!!
Siwashangai walianza na ule wimbo wa Dr. Remmy (lakini yamekuwa yale yaleee ya kwenye ule wimbo) wakafuata HAKI ELIMUuuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom