Sibuka tv ni ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sibuka tv ni ya nani?

Discussion in 'Entertainment' started by Shedafa, Nov 20, 2010.

 1. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuna channel mpya imeanza na tayari iko digital, inaitwa Sibuka TV. Kuna anayejua ni ya nani, au ndio ule utabiri ulioletwa humu kuwa mmoja wa mafisadi papa naye anaingia ulingoni kwenye media?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hiyo channel nimeona ikitangazwa sana na startimes....inahusu nini?
   
 3. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Inaonekana ni ya kawaida kama ITV na nyingine, ila imeanza vizuri. Maana yangu wanaonekana wamejiandaa, mchana muda mwingi wanaweka documentary na usiku movie. Jana usiku waliweka movie nzuri niliipenda. Ila bado ni test signal.
   
 4. B

  Brandon JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I think ni ya george nangale alikua mbunge wa east africa miaka ya nyuma, sasa sijui yupo wapi.
  Sibuka radio ilianzia maswa shinyanga sasa nahisi wamwanzisha tv. .
   
 5. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante kutujulisha, nafikiri huyu hayumo kwenye horodha ya mafisadi papa!.
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Na hii nayo inahitaji decorder yake binafsi ama unaipata kupitia decorder gani maana kwa jinsi kila kituo cha TV kinavyotaka kuwa na Decorder yake binafsi,days are coming when sebule zetu zitakuwa zimejaa rundo la Decorder sita ama saba lakini Runinga moja! Mark ma Words.
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Halafu jana mimi niliinasa B4U kwa kutumia antenna ya kawaida tu, je hii nayo ni ya nani??
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Hii mkuu inaonekana kupitia decoder ya startimes.
   
 9. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  So, ndo marketing gani gani hiyo?!!! Ilibidi kwanza iwe Free To Air ili waungwana waijue ili kama itakuwa bakora ndipo mtu aweze kushawishika kuwa na hiyo Startimes kwa kigezo cha kuwepo na hiyo SHIBUDA!1
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  haha ATN nao wana Decoder yao wana Channels 14. kama siku tano zimepita nilikuwa naipata Emmanuel TV kupitia Free To Air Dish ghafla ikakata ikaandika scrambled channel, nikamleta fundi kurekebisha akajaribu for 3 hrs lkn wapi baadaye akaniambia hii watakuwa wameifunga, akaniambia ATN wanayo hiyo na wana decoder yao, DUH nikajua lazima wao ndo watakuwa wameipiga pini km ilivyokuwa eTV hawa wachina na TBC walivyotufanyia, nikazama mtandaoni nikapata contact za ATN nikawapigia siku ya kwanza siu za zinaita tuu, siku ya pili zikaitaa tuu tena for 2hrs then kuna jamaa akapokea, ndo akanihabarisha kwamba wana decoder ina channel 14 tbc itv na nyinginezo ndani ikiwamo na emmanuel TV, inauzwa kilo moja lkn hawajaanza kutoza malipo kwa mwezi so unapata na mpira nasikia wanaonesha champions league hawa jamaa. ni kweli itafika siku sebule nzima itajaa decoder. Kuna mshikaji napiga nae mzigo hapa ana ya DSTV, Startimes, ile ya wachina wa Zhonghua pale, tatu hizo. teheteh sijui unaangaliaje programs hapo
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaaaaaaaah!
   
 12. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sijui hii tume ya mawasiliano ipo likizo?. Kama kuhamia digital kwenyewe ndio huko mbona kazi, halafu walitutisha ooh itabidi kununua tv za digital maana baada ya 2015 kutakuwa hakuna matangazo ya analog!. Kama mtindo wenyewe ndio huu kuna sababu gani ya kubadili tv?
   
 13. r

  rosalia New Member

  #13
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miaka kama mitano iliyopita rafiki yangu aliwahi kunieleza kuhusu RADIO SIBUKA iliyoko Maswa, Shinyanga alikua akifanya kazi rafiki yake mmoja .sifahamu kama mmiliki wa radio hiyo ndiye pia mmiliki wa TV SIBUKA. Bahati mbaya sina mawasiliano na rafiki yangu huyo tangu tulipomaliza elimu ya secondary 2004. mdau
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sibuka labda ni ya mh SHIBUDA
   
 15. W

  We can JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa kutumia LOGIC, kwa kuwa Sibuka FM radio ni ya Dr. Nangale, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, bila shaka na TV ni ya kwake.
   
 16. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  decorder nne ni kasheshe tupu
  lakini pia kitu kinachokera ni madishi, kwa anayejua sijui hao ATN decorder zao zinahitaji madishi?
   
 17. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #17
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hazihitaji madishi. Antena inatosha.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  hata kama ni fisadi papa tunachotaka ni kwamba hayupo kwenye system
   
 20. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  ni christina shusho
   
Loading...