Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Mi nilidhani wamemtukana Mandela! Kumbe hawajamwandika tu! Unajuaje labda msiba umetokea wakati walishamaliza kukamilisha habari!
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
watu waliomsaidia mkoloni na kuwa upande wake dhidi ya wanamapinduzi akina NYERERE usitarajie eti wamtukuze mandela kuliko babu mgojwa SLAA.Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
pia ungekuwa mzalendo wa kweli ungepigania haki ya watanzania wako kupata elimu bora, afya bora!! Raslimali za nchi hii zigawanywe kwa uhaki, nafikiri hili lina umuhimu zaidi kuliko hata msiba wa ya Mandela.Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
Mbona huisemi Mwananchi iliyotoa front page picha ya wale vijana watano waliolewa viroba wakiwa na mabango yao uchwara yaliyoandikwa na mtu mmoja.Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni Kwa heri mandela, Rai pia The citizen HEROS DEMISE What a lifeHabari leo halikadhalika Nelson Mandela Afariki dunia ..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
imawezekana waliwahi kuchapisha kabla ya kifo. magazeti uliyoyataja yanachapa magaazeth yao hapo hapo ofisini kwao wakati gaazeti la dj linachapwa sehemu nyingine.
pia ungekuwa mzalendo wa kweli ungepigania haki ya watanzania wako kupata elimu bora, afya bora!! Raslimali za nchi hii zigawanywe kwa uhaki, nafikiri hili lina umuhimu zaidi kuliko hata msiba wa ya Mandela.
Mkuu gazeti la Tanzania Daima linajua maisha ni Chadema tu.
Njaa ikiwa kali sana ndo matokeo yake hayo!!