Siasa zisitufanye tukakosa UTU wetu: Kwa hili Tanzania Daima Mnaaibisha!

Tume ya Katiba

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,899
Likes
755
Points
280
Tume ya Katiba

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,899 755 280
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni “Kwa heri mandela”, Rai pia The citizen HERO’S DEMISE “What a life”Habari leo halikadhalika “Nelson Mandela Afariki dunia”…..mengine Dunia inalia n.kJambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
 
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Messages
3,463
Likes
19
Points
0
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2013
3,463 19 0
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k

Mi nilidhani wamemtukana Mandela! Kumbe hawajamwandika tu! Unajuaje labda msiba umetokea wakati walishamaliza kukamilisha habari!

Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
Mi nilidhani wamemtukana Mandela! Kumbe hawajamwandika tu!
 
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
2,012
Likes
4
Points
135
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
2,012 4 135
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
watu waliomsaidia mkoloni na kuwa upande wake dhidi ya wanamapinduzi akina NYERERE usitarajie eti wamtukuze mandela kuliko babu mgojwa SLAA.
WALA WASIKUPE SHIDA HAWA CHAGA PART, kisiwa walichosimama kinazini kuliwa na tropical storm.
 
E

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
939
Likes
3
Points
35
E

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
939 3 35
Unashangaa hilo mbona kuna kipindi mzee madiba mgonjwa tundu lisu alinukuu baadhi ya maneno yake kisha akasema mzee huyu wakati wowote anaweza kufa.....? Ndio spika akamwambia muombee apone ......? Ukishangaa ya chadema waweza kufa siku si zako ?
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,900
Likes
10,116
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,900 10,116 280
Njaa ikiwa kali sana ndo matokeo yake hayo!!
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,920
Likes
2,917
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,920 2,917 280
imawezekana waliwahi kuchapisha kabla ya kifo. magazeti uliyoyataja yanachapa magaazeth yao hapo hapo ofisini kwao wakati gaazeti la dj linachapwa sehemu nyingine.
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,953
Likes
7,593
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,953 7,593 280
Tanzania Daima na udaku ni kama samaki na maji.
 
ELNIN0

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
3,874
Likes
315
Points
180
ELNIN0

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
3,874 315 180
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.kJambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
pia ungekuwa mzalendo wa kweli ungepigania haki ya watanzania wako kupata elimu bora, afya bora!! Raslimali za nchi hii zigawanywe kwa uhaki, nafikiri hili lina umuhimu zaidi kuliko hata msiba wa ya Mandela.
 
mirisho pm

mirisho pm

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
2,834
Likes
4,570
Points
280
mirisho pm

mirisho pm

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
2,834 4,570 280
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.kJambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?

sasa unataka magazeti yote yawe na heading zinazofanana?utu unaozungumzia ni upi....? wakimwandika kuwa amefariki ndio utafurahi? hivi mbona watanzania wengi tunapenda kuwa wajuvi kwenye kila ki2? embu fungua gazeti lako alafu uliendeshe kama unavyotaka wewe uone kama hujafungia maandazi hapo hapo oficini kwako
 
M

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
4,263
Likes
8
Points
0
M

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
4,263 8 0
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.kJambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
Mbona huisemi Mwananchi iliyotoa front page picha ya wale vijana watano waliolewa viroba wakiwa na mabango yao uchwara yaliyoandikwa na mtu mmoja.

Denis Msaky anaiua Mwananchi. Tido mchekee tu.
 
D

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
460
Likes
30
Points
45
Age
28
D

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
460 30 45
Kwani lazima wamwandike tanzania daima?anzisha gazeti lako uwe-unaandika kwenye front page
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni “Kwa heri mandela”, Rai pia The citizen HERO’S DEMISE “What a life”Habari leo halikadhalika “Nelson Mandela Afariki dunia”…..mengine Dunia inalia n.kJambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
 
Mtoboasiri

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Messages
5,104
Likes
105
Points
0
Mtoboasiri

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2009
5,104 105 0
imawezekana waliwahi kuchapisha kabla ya kifo. magazeti uliyoyataja yanachapa magaazeth yao hapo hapo ofisini kwao wakati gaazeti la dj linachapwa sehemu nyingine.
Uwezo wa akili wa alieanzisha uzi huu (na wale wanaomuunga mkono) ni mdogo sana kuweza kufikiri hiki ulichokiandika hapa!
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
then what????

''kawashtaki basi''
 
M

marimba

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
110
Likes
0
Points
0
M

marimba

Senior Member
Joined Dec 3, 2013
110 0 0
pia ungekuwa mzalendo wa kweli ungepigania haki ya watanzania wako kupata elimu bora, afya bora!! Raslimali za nchi hii zigawanywe kwa uhaki, nafikiri hili lina umuhimu zaidi kuliko hata msiba wa ya Mandela.
Wazo finyu hilo, suala la elimu lipo sk zote, msiba wa yule mzee ni msina wa dunia, au kwakuwa chama chenu cha kibaguzi ndio maana hamimpendi mpinga ubaguzi!
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,371
Likes
4,233
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,371 4,233 280
Siku tatu za maombolezi ni leo ijumaa,jumamosi na jumapili au ni leo ijumaa,jumatatu na jumaine wiki ijayo?
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,299
Likes
230
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,299 230 160
Mkuu gazeti la Tanzania Daima linajua maisha ni Chadema tu.
Siku ya kuvaa suruali fupi na kwenda kugonga chakula cha mtume wetu
 
Forum statistics

Threads 1,251,986
Members 481,948
Posts 29,792,311