Siasa zisitufanye tukakosa UTU wetu: Kwa hili Tanzania Daima Mnaaibisha!

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni “Kwa heri mandela”, Rai pia The citizen HERO’S DEMISE “What a life”Habari leo halikadhalika “Nelson Mandela Afariki dunia”…..mengine Dunia inalia n.k

Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
 
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k

Mi nilidhani wamemtukana Mandela! Kumbe hawajamwandika tu! Unajuaje labda msiba umetokea wakati walishamaliza kukamilisha habari!

Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?

Mi nilidhani wamemtukana Mandela! Kumbe hawajamwandika tu!
 
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
watu waliomsaidia mkoloni na kuwa upande wake dhidi ya wanamapinduzi akina NYERERE usitarajie eti wamtukuze mandela kuliko babu mgojwa SLAA.
WALA WASIKUPE SHIDA HAWA CHAGA PART, kisiwa walichosimama kinazini kuliwa na tropical storm.
 
Unashangaa hilo mbona kuna kipindi mzee madiba mgonjwa tundu lisu alinukuu baadhi ya maneno yake kisha akasema mzee huyu wakati wowote anaweza kufa.....? Ndio spika akamwambia muombee apone ......? Ukishangaa ya chadema waweza kufa siku si zako ?
 
imawezekana waliwahi kuchapisha kabla ya kifo. magazeti uliyoyataja yanachapa magaazeth yao hapo hapo ofisini kwao wakati gaazeti la dj linachapwa sehemu nyingine.
 
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k

Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
pia ungekuwa mzalendo wa kweli ungepigania haki ya watanzania wako kupata elimu bora, afya bora!! Raslimali za nchi hii zigawanywe kwa uhaki, nafikiri hili lina umuhimu zaidi kuliko hata msiba wa ya Mandela.
 
sasa unataka magazeti yote yawe na heading zinazofanana?utu unaozungumzia ni upi....? wakimwandika kuwa amefariki ndio utafurahi? hivi mbona watanzania wengi tunapenda kuwa wajuvi kwenye kila ki2? embu fungua gazeti lako alafu uliendeshe kama unavyotaka wewe uone kama hujafungia maandazi hapo hapo oficini kwako
 
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni "Kwa heri mandela", Rai pia The citizen HERO'S DEMISE "What a life"Habari leo halikadhalika "Nelson Mandela Afariki dunia"…..mengine Dunia inalia n.k

Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
Mbona huisemi Mwananchi iliyotoa front page picha ya wale vijana watano waliolewa viroba wakiwa na mabango yao uchwara yaliyoandikwa na mtu mmoja.

Denis Msaky anaiua Mwananchi. Tido mchekee tu.
 
Kwani lazima wamwandike tanzania daima?anzisha gazeti lako uwe-unaandika kwenye front page
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni “Kwa heri mandela”, Rai pia The citizen HERO’S DEMISE “What a life”Habari leo halikadhalika “Nelson Mandela Afariki dunia”…..mengine Dunia inalia n.k

Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?
 
imawezekana waliwahi kuchapisha kabla ya kifo. magazeti uliyoyataja yanachapa magaazeth yao hapo hapo ofisini kwao wakati gaazeti la dj linachapwa sehemu nyingine.

Uwezo wa akili wa alieanzisha uzi huu (na wale wanaomuunga mkono) ni mdogo sana kuweza kufikiri hiki ulichokiandika hapa!
 
pia ungekuwa mzalendo wa kweli ungepigania haki ya watanzania wako kupata elimu bora, afya bora!! Raslimali za nchi hii zigawanywe kwa uhaki, nafikiri hili lina umuhimu zaidi kuliko hata msiba wa ya Mandela.

Wazo finyu hilo, suala la elimu lipo sk zote, msiba wa yule mzee ni msina wa dunia, au kwakuwa chama chenu cha kibaguzi ndio maana hamimpendi mpinga ubaguzi!
 
Siku tatu za maombolezi ni leo ijumaa,jumamosi na jumapili au ni leo ijumaa,jumatatu na jumaine wiki ijayo?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom