Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Katika hali ya kusikitisha sana takriban magazeti yote ya leo nchini kichwa cha habari ni kifo cha mandela, Mwananchi kwa mfano front page yote ni Kwa heri mandela, Rai pia The citizen HEROS DEMISE What a lifeHabari leo halikadhalika Nelson Mandela Afariki dunia
..mengine Dunia inalia n.k
Jambo la kusikitisha sana ni kuwa Gazeti la Tanzania daima Habari hii haikupewa umuhimu wowote na kichwa cha habari kikuu ni Slaa afunika kwa Zitto??? Kisha wakatoa picha inayoonyesha kikundi cha watu kidogo kikimsikiliza SLAA , AIBU gani hii?