Unashangaa hilo mbona kuna kipindi mzee madiba mgonjwa tundu lisu alinukuu baadhi ya maneno yake kisha akasema mzee huyu wakati wowote anaweza kufa.....? Ndio spika akamwambia muombee apone ......? Ukishangaa ya chadema waweza kufa siku si zako ?
Bahati mbaya baadhi ya wachangiaji hapa hawajui ABC za news room.