kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
NIMEFUATILIA huyu sikonge kwenye mjadala huu na nimeona si mtu wa kyela na hafahamu lolote kuhusu kyela. kwanza katika mjadala huu sikonge ni mshabiki tu. maana ueleweki sana. kwa sasa naona uko biased au una nia ya kaaccelerate mjadala. hujui maswala mengi nafikiri muachie mhandisi niendelee naye. wewe huna jipya zaidi ya kubashiri na kukosa kuwa na mjadala wa maana. mambo yanayofanyika kyela ni mengi sana ambayo wanaoweza kuyaona ni wale wanaoifahamu kyela. lakini hawa vijana wa kuja hawajui lolote? sisi tunajadili hapa ni kwa kujua tunakwenda wapi? tuna dira inayotuongoza, tuifahamu kyela ya enzi ya shule tatu za sekondari ipinda, kyela day na itope. tunakumbuka mwakyembe alivyoleta msaada wa karabai kwa ajili ya kusomea pale itope akiwa si mbunge kipindi hicho kyela haina umeme. kabla ya hapo tulikuwa tunasomea vibatari pale itope. Bila misaada ya mwakyembe kyela mimi nisingeweza kufika hapa na kuaccess jf. pengine ningekuwa mkulima wa mpunga kyela. leo tunajua kyela imekuwa ikiwa ya pili au ya kwanza kimkoa kwa kufaulu matokeo ya darasa la saba. tunajua zawadi anazotoa kwa watoto hawa jinsi zinavyoamsha hali ya kusoma na kujisomea kwa watoto hawa. haya yote tunaongea kwa hisia tunayafahamu. sasa mpango uliopo ni kujenga shule ya advance na jitihada za kuanzisha advance pale kyela day tunaziona. huyu mtu yuko siliasi sana. jitihada za kujenga soko la kimataifa zipo wafadhili wameonyesha nia na maongezi bado yanaendelea.ni maendeleo mengi ambayo yako kwenye progress kuendelea kuyanadi hapa ni sawa na kuwapa nafasi ya kuyabeza tu. halafu umekosa kutoa mifano halisi ya kyela. kifupi umejibu juu juu mno. sasa kwa mhandisi anaonyesha uhalisia lakini si wewe.inawezekana kwamba ni kweli hajajua. lakini wewe ni mtu ambaye unapambanisha tu. hoja zako ni nyepesi mno kwa kweli ebu jaribu tena. kama hauko huko kyela na hujui lolote bora uulize kuliko kuja kichwakichwa. wengi wanataka kupata neutral point. tumesikia ya huku ebu tusikilize kote halafu tupime. mimi ninayoyaongea nayafahamu na ninashiriki kuijenga kyela. ninatoa michango na ninaona matatizo yanayokabili maendeleo ya kyela. na ninafahamu hata jitihada zinazofanywa. ukweli hata mimi kama mwakyembe angevulunda ningekuwa wa kwanza kumpinga lakini kwa sasa hakuna haja. japo mapambano yanajibiwa kwa uzito mkubwa lakini ukweli ni kuwa hata mwakyembe angekaa kimya mwakalinga hafurukuti, lakini hatujui nani yupo nyuma yake. kwa sasa inatakiwa kupambana nae bila kujali maana unaweza ukafikiri ni yeye kumbe katumwa. kama kweli huyu angekuwa na nia ya kuendeleza kyela sidhani kama angegombea kipindi hiki ambacho kinajulikana kabisa kuwa mwakyembe sasa yuko juu sana., na ndio maana kuna uwezekano mkubwa kuwa kuna watu nyuma yake. huwezi kubeza maendeleo ya mwakyembe leo katutoa mbali.Huyu kijana jana aliandika huu ujumbe.
Nikawa na hamu leo ya kuelewa nini ataandika leo. Leo nakuta huu ujumbe.
Yaani nikisoma hapo juu nina uhakika kabisa huyu mwaandishi ni nani. Mhandisi na wengine, huyu dogo ni mbishi kama dagaa. Hata mfanyenye hamtamuweza. Sanasana atakuja hapa kwa jina jingine na kuanza kudai mie ana/ni/wafahamu na atamwaga data zangu/zenu hapa.
Kijana anza upya. Fanya homework yako vizuri. Yaani umeshindwa hata kitu kimoja kuandika alichofanya Mwakyembe zaidi ya kuzunguka kichaka. Kama elimu na shule, hizo si shule za Lowassa?
Sitaki kukupa pressure kwa sasa. Ila data za Mwakyembe zipo na zinasubiri muda mwanana ufike. Kama Mwakyembe angelikuwa MKALI kama unavyomsema, kwa nini unahaha sasa? Hivi unafikiri kukiwa na mechi katika ya Taifa Star na Brazil, wachezaji gani hawatalala? Je kama ni final kati ya German na Argentina, nani watalala? Wapambe wa Mwakyembe msiwe na wasiwasi kama mnavyosema ni kweli kuwa Mwakyembe kafanya mengi Kyela. Yeye ni shujaa wa Taifa na Kyela ikiwa sehemu sasa kwa nini mnahema kama MJUSI aliyebanwa mlangoni? Mechi nzito siyo?
NIMEFUATILIA huyu sikonge kwenye mjadala huu na nimeona si mtu wa kyela na hafahamu lolote kuhusu kyela. kwanza katika mjadala huu sikonge ni mshabiki tu. maana ueleweki sana. kwa sasa naona uko biased au una nia ya kaaccelerate mjadala. hujui maswala mengi nafikiri muachie mhandisi niendelee naye. wewe huna jipya zaidi ya kubashiri na kukosa kuwa na mjadala wa maana. mambo yanayofanyika kyela ni mengi sana ambayo wanaoweza kuyaona ni wale wanaoifahamu kyela. lakini hawa vijana wa kuja hawajui lolote? sisi tunajadili hapa ni kwa kujua tunakwenda wapi? tuna dira inayotuongoza, tuifahamu kyela ya enzi ya shule tatu za sekondari ipinda, kyela day na itope. tunakumbuka mwakyembe alivyoleta msaada wa karabai kwa ajili ya kusomea pale itope akiwa si mbunge kipindi hicho kyela haina umeme. kabla ya hapo tulikuwa tunasomea vibatari pale itope. Bila misaada ya mwakyembe kyela mimi nisingeweza kufika hapa na kuaccess jf. pengine ningekuwa mkulima wa mpunga kyela. leo tunajua kyela imekuwa ikiwa ya pili au ya kwanza kimkoa kwa kufaulu matokeo ya darasa la saba. tunajua zawadi anazotoa kwa watoto hawa jinsi zinavyoamsha hali ya kusoma na kujisomea kwa watoto hawa. haya yote tunaongea kwa hisia tunayafahamu. sasa mpango uliopo ni kujenga shule ya advance na jitihada za kuanzisha advance pale kyela day tunaziona. huyu mtu yuko siliasi sana. jitihada za kujenga soko la kimataifa zipo wafadhili wameonyesha nia na maongezi bado yanaendelea.ni maendeleo mengi ambayo yako kwenye progress kuendelea kuyanadi hapa ni sawa na kuwapa nafasi ya kuyabeza tu. halafu umekosa kutoa mifano halisi ya kyela. kifupi umejibu juu juu mno. sasa kwa mhandisi anaonyesha uhalisia lakini si wewe.inawezekana kwamba ni kweli hajajua. lakini wewe ni mtu ambaye unapambanisha tu. hoja zako ni nyepesi mno kwa kweli ebu jaribu tena. kama hauko huko kyela na hujui lolote bora uulize kuliko kuja kichwakichwa. wengi wanataka kupata neutral point. tumesikia ya huku ebu tusikilize kote halafu tupime. mimi ninayoyaongea nayafahamu na ninashiriki kuijenga kyela. ninatoa michango na ninaona matatizo yanayokabili maendeleo ya kyela. na ninafahamu hata jitihada zinazofanywa. ukweli hata mimi kama mwakyembe angevulunda ningekuwa wa kwanza kumpinga lakini kwa sasa hakuna haja. japo mapambano yanajibiwa kwa uzito mkubwa lakini ukweli ni kuwa hata mwakyembe angekaa kimya mwakalinga hafurukuti, lakini hatujui nani yupo nyuma yake. kwa sasa inatakiwa kupambana nae bila kujali maana unaweza ukafikiri ni yeye kumbe katumwa. kama kweli huyu angekuwa na nia ya kuendeleza kyela sidhani kama angegombea kipindi hiki ambacho kinajulikana kabisa kuwa mwakyembe sasa yuko juu sana., na ndio maana kuna uwezekano mkubwa kuwa kuna watu nyuma yake. huwezi kubeza maendeleo ya mwakyembe leo katutoa mbali.
AH JAMANI ETI KUNA MTU ANAROPOKA MWAKYEMBE KASOMA IJMC, mwakyembe mwanasheria jamani wa administrative law...msiwe mnaropoka kifalafala ndani hum mnashusha hadhi ya JF
AH JAMANI ETI KUNA MTU ANAROPOKA MWAKYEMBE KASOMA IJMC, mwakyembe mwanasheria jamani wa administrative law...msiwe mnaropoka kifalafala ndani hum mnashusha hadhi ya JF
Mbona huyo mbunge wako aliyekutuma uje ubwabwaje hapa alichemsha form six akaishia kwenda chuo cha uandishi wa habari badala ya UDSM? Je mafanikio yake ya elimu kwasasa tuyapuuze kwasababu tu hakufanya vizuri form six?
Kijana kaishia yeye KUPEWA ELIMU, haya daka somo hapo juu.Tupe data katika hili hivi ni kweli kuwa Dr harison mwakyembe aliishia chuo cha uandishi wa habari badala ya UDSM? Hivi ndivyo mnavyodanganya watu huko, kwa kifupi mwakyembe amesoma chuo cha uandishi wa habari ambacho ni chuo kikuu cha dar es salaam, (IJMC). Sasa mzee hivi kuna haja ya kuendelea maana hapa inaonekana hujui hata IJMC kuwa ni sehemu ya UDSM. Uzuri wa jf ni pamoja na watu kupata elimu daka hilo halafu uwafundishe na wenzio.
Kazi ipo hapa nilijua wengi wale wa kukurupuka watakuja kama mlivyokuja sikonge (mzee wa kubashiri). mhandisi wa kule kyela wote si makosa bali ndio kufikiri huko. kuna jamaa kaja vizuri na citation lakini kaja kuhalibu mwishoni sana wakati anaconclude. sasa TSJ ukiongelea wakati huu ni IJMC ambacho kipo chini ya UDSM. sasa ningesema TSJ iko chini ya UDSM hapo ningekuwa nimekosea. SAsa hata kusema IJMC iko chini Ya UDSM bado haieleweki?Kasyabone,
Na wewe bora ukae kimya tu. Yaani unashindwa hata kujua Dr. Mwakyembe kasoma wapi wakati taarifa zote ziko website ya bunge?
Mwakyembe alisoma diploma TSJ kwanza kabla ya kuingia UDSM kwenda kusoma bachelor. Wakati huo TSJ ilikuwa chuo kidogo sawa tu na vyuo vingi vingine vya diploma wala haikuwa chini ya UDSM kama unavyodanganya hapa.
Naona hata kujadiliana na wewe ni kupoteza muda kama alivyosema Sikonge maana inaelekea hata uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Kyela yenyewe huijui na wala hutoki Kyela na ndio maana hata hoja zako zinayumba.
Kazi ipo hapa nilijua wengi wale wa kukurupuka watakuja kama mlivyokuja sikonge (mzee wa kubashiri). mhandisi wa kule kyela wote si makosa bali ndio kufikiri huko. kuna jamaa kaja vizuri na citation lakini kaja kuhalibu mwishoni sana wakati anaconclude. sasa TSJ ukiongelea wakati huu ni IJMC ambacho kipo chini ya UDSM. sasa ningesema TSJ iko chini ya UDSM hapo ningekuwa nimekosea. SAsa hata kusema IJMC iko chini Ya UDSM bado haieleweki?
Wakati huo hakukuwa na chuo kinachotoa degree ya uandishi wa habari. kwa wakati huo TSJ ndio kulikuwa chuo kikubwa cha uandishi wa habari. sasa ingekuwa leo huyu mtu anayetaka kusomea uandishi wa habari basi angesoma IJMC ambayo ndio chuo kinachotoa elimu ya ngazi ya juu kwa uandishi wa habari hapa tanzania. sasa kufikiri ni muhimu, wakati mwingine kulinganisha nyakati.
unapoongelea TSJ inategemea unaongelea wakati gani.(nasisitiza).LEO hio TSJ haipo ni historia wakati huu ukiongelea TSJ basi UNAongelea IJMC nafikiri hapo mmenipata. NILItegemea kupata majibu makubwa sasa mtu unasoma halafu unaoverlook ni kustiki hapo. nafikiri kwa sasa hoja zimekwisha.
Dkt. Mwakyembe alisema kuwa alipata kura asilimia 93 katika uchaguzi mkuu mwaka 2005.
mwakyembe amesoma chuo cha uandishi wa habari ambacho ni chuo kikuu cha dar es salaam, (IJMC). hii ndio kauli yangu ya jana. labda nianze na kiswahili kilichotumika.Wewe dogo acha kudanganya watu hapa. Soma ujumbe wako wa jana na ghafla leo umebadilika kama Kinyonga na kuandika kitu tofauti.
Kuwa mwandishi wa habari sio lazima usomee chuo cha uandishi wa habari. Angalia hata waandishi wa habari wengi wa maana TZ wala hawakusoma chuo cha uandishi wa habari.
Pia Mwakyembe kusoma TSJ ilikuwa njia ya kwenda chuo kikuuu na wala sio kwasababu alitaka kuwa mwandishi wa habari.
Watu wote ambao walikuwa hawawi na points za kutosha kuingia chuo kikuu moja kwa moja walikuwa wanatumia njia hiyo. Wala hakuna ubaya kwenye hilo, ila nilitaka kukuonyesha tu kwamba kwa mfano mtu kutokufaulu vizuri form six haina maana hata mafanikio yake ya mbele yadhalauliwe.
Wewe soma tu shule yako na acha kupoteza muda wako kujadili mambo ambayo hata huyajui.
Nyani haoni kundule, kama Mwakipesile hapatikani na mbunge yeyote wa mkoa wa Mbeya, je yeye Dr. Mwakyembe mbona na yeye hapatani na diwani yeyote wa wilaya ya Kyela? Mbona hapatani na kiongozi yetyote wa CCM wa wilaya ya Kyela. Hawa jamaa wote wawili wanaturudisha nyuma shauri ya ujinga wao usio na mwisho.
QUOTE]
Dr. anasema 2005 alipata 93% inamaana hata hao madiwani walimpigia kura!
Dr. huyu ni Mbunge wa Taifa siyo Kyera pekee watu wa Mbeya sijui kwanini hawaelewi.
Hii issue nadhani hata JK anahusika, amebadilisha Wakuu wote wa Mikoa lakini Mwakipesile akamwacha pale pale. Kweli Mbeya watapata maendeleo?