saidhorizons
Member
- Aug 10, 2009
- 37
- 4
Mkuu, nothing personal nimeona niweke sawa kidogo hapo juu
Mutwa,
Naelewa una maana gani lakini ungesoma vizuri baada ya hiyo paragraph inayomwongelea huyo kijana kibarua, inayofuata kwa vyovyote inaongelea Mwakalinga mwingine. Soma hiyo ya kwamba hizo zilikuwa sms za Mwakalinga na vijana wake wa Kyela. Sidhani kama huyo kijana mwenyewe angeweza kuwa na vijana wake tena Kyela.
Of course uandishi wa hapa JF ni wa haraka haraka na wakati mwingine hata kwa msomaji ambaye hujasoma thread nzima ni rahisi kuelewa tofauti.
lazima waende na kisu maana yake walijaribu ajali wakashindwa, siunajua mwakalinga ndio alikuwa mzamini wa ile ajali
Dr. ni mkweli, Mungu atamsaidia. Mwakalinga ana future nzuri, ni mtu ambaye namfahamu na tuko jirani sana. Kinachoniudhi hapa ni mlango aliopitia Mwakalinga. Otherwise he is a very polite and wise man. Kama angepita njia tofauti , anafaa tu kama ilivyo kwa Dr. Watu wa Kyela hawana tabia ya kujikomba kwa watu wenye hela chafu. Ni watu wanaojiamini kama walivyo. Hivi inakuwaje mtu ambaye amekuwa msitari wa mbele kupinga ufisadi anatumiwa na hao watu waliohujumu maendeleo ya Kyela? Mwakipesile ni kibaraka wa hao wanaomchukia Mwakyembe. Heri Mwakyembe hata kama wanasema hajaleta maendeleo, kuliko mtu ambaye anatumiwa. Please , Please George jiengue na hao watu na nitakupigia debe! Tena utakuwa umeweka Historia kwenye kata ya Katumba Songwe. One word " JIENGUE NA HAO MAFISADI" come clean we will be on your back. Hujachelewa......

Kama mweli si aende kuwa Mchungaji?
Do I need to add anything? U've nailed it down Nyumbu....tuko pamoja!
Nilicho kigundua hapa wewe ni mmoja wa hao vijana, na kama unatumwa na mwakalinga sijui amekulipa ngapi. Nashangaa unaanza oh...mara kijana alikamatwa saa 8...mara oh...alifikishwa polisi saa 2 mara saa 3, yote hayo uliulizwa na nani?? Mara unasema safari hii mtu atafungwa!! ah... angalia unaweza kufungwa wewe kwa sababu huna immune na kifungo.
Hata kama humpendi mwakyembe mwache afanye shughuli zake za siasa, na 2010 atawashinda tu labda mfanikiwe kumuua lakini msisahau Mungu yupo na anawaona.
Mpwa hapa umeharibu
Hebu angalia mchungaji huyu
Yaani unataka Dr Mwakyembe afanye haya!
mweleze huyo siku zote mtetea haki lazima apate sulubu na upinzani mkubwa jamani, tumeona kwa Mandela Bondeni baada ya miaka 25, alikuwa raisi wa kusifika ulimwenguni so Mwakembe wakikupeleka Lupango wala hatutachoka kuku support, ukitoka tupo pamoja tutawalipizia tu tutawanyang'anya mali zetu walizotuibia,
HAPA NDIPO TUTAKAPO MUONA KAKA YETU KIKWE YUPO UPANDE WA MBUZI AU KONDOO MAANA MPAKA SASA HIVI TUKO NJIA PANDA
HATA ALIYEUZA NCHI YETU KWA WAKOLENI NI NDUGU YETU NA ALIYEIOKOA MIKONONI MWA WAKOLONI NI NDUGU YETU VILEVILE
UKIFUNGWA KWA KUTETEA HAKI ZA WANYONGEEEEE UKO juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

ila Mnyakyusa mwenzio Masanilo kakuelewa haswaa hadi kajisahau kaandika Kikwenu.