Rose Can AVENUE
Member
- Dec 1, 2019
- 42
- 13
Moja ya KAZI kubwa ya viongozi ni kuwaletea maendeleo wananchi nao wananchi ni kuandaa mazingira ya maendeleo lakini tunakutana kwenye ni upepo tu utapita au umetaka mwenyewe
Ni muda wa kutafakari wakati wa makinikia walikubaliana nini maana siyo KAZI kuanzishwa viwanda nchini:
Kiwanda cha karanga, korosho, mchicha wa kupaki ukianzisha baada ya wiki tank umesahau kazi yako ni kuangalia watu kwa story na kupata mishahara lakini ukijudge tu siyo kazi
Karibu kwenye Siasa ya Siyo KAZI ili hata kujenga miji Kwa kipindi maalumu isiwe kazi ni muda wetu kuzaliana
#tag Siyo KAZI utasahau tu maana story hii umesahau