Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

Mzee Halima Ni CCM, inside out left to right, back to front.
Chhajabu ninini watu wa CCM wakitembeleana?
Wangemtembelea dadake Heche hapo sawa.
Ni suala la muda tu halima anahamia ccm very soon! We kaa ujiulize ni lini ccm wameanza kuwa wema na kuwatembelea wazazi wa mpinzani hospital? Tena hadi waziri mkuu na spika wa bunge! Time will tell.
 
Ni suala la muda tu halima anahamia ccm very soon! We kaa ujiulize ni lini ccm wameanza kuwa wema na kuwatembelea wazazi wa mpinzani hospital? Tena hadi waziri mkuu na spika wa bunge! Time will tell.

Yuko ccm toka alivyopewa ubunge wa mchongo, kwa sasa kwa sababu za kiufundi anavuta muda tu bunge livunjwe atangaze kuhamia rasmi.
 
Kwamba
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kan
Kwamba CCM na kila Halima ni watu tofauti? Hizi siasa majitaka sizipendagi hasa zikinasibishwa na Afya za watu
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.View attachment 2889997
 
Kama wangekuwa chama kimoja, jeee chama chako kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani, huo mkwanja wa ruzuku mngekuwa mngekuwa mnapata mpunga wote huo kama sio hao wabunge wenu wa vitii maalumu?

Ruzuki inatokana na idadi ya kura za urais. Hivyo viti maalum vimetokana na idadi ya kura za urais na sio kinyume chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom