Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

Na masister ni cheap labour kwa jina la "viapo vya utii" kaangalie kazi wanazofanya daily ufugaji wa ng'ombe mbuzi nguruwe,uzalishaji mashambani, ushonaji, viwsnda vidogo kama usindikaji usagaji unga uokaji.Wanaingizia taasisi mamilioni kwa posho ya chakula na malazi.
Ukiupata ujumbe huu naomba nipm please 🙏
 
acha kujitetea ujinga. ulipaswa kuleta habari yako ikiwa kamili.

JF inatoa fursa pana kwa author kuandika habari yake kwa undani zaidi ili kutomuacha msomaji njia panda. link inakuwa ni ziada tu ya ku support kile ulichoandika.

hata hivyo link sio kitu salama sana na ndio maana wataalamu wa mifumo ya ulinzi wa kimtandao, siku zote wanashauri kutokukimbilia kufungua link ambayo huielewi.

hii inatokana na baadhi ya wahalifu wa kimtandao(hackers), kutumia link kama portal ya kukusanya taarifa mbalimbali za watu wengine kwa malengo ya kutenda uhalifu.
Nakuelewa- ila kwa maoni yangu kama kuna chanzo halisi kwanini nikupe maoni yangu- huo ndio msimamo wangu. Nimejipa tu u tarishi- nimeleta barua ukinuiliza imeandikwa au inahusu nini jibu langu litakuwa ni NIMEPEWA NA BOSS NILULETEE
 
Back
Top Bottom