Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 81
2010 imefika mapema
Anakumbuka kuikosoa TFF baada ya kuona kombe la dunia!
Amezidi kuwa kimbelembele. This could make her come to her senses
Mama mdogoMbona mimi kwenye michuzi blog nimemuangalia na kuona mama kalishika kombe hilo pamoja na Mheshimiwa Rais. Bonyeza hii link hapa chini waweza kuona, thanks.
http://4.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/SwWXNMQ4mHI/AAAAAAAA1BI/BlT31mKDZyM/s1600/Kombe+la+Dunia+(2).JPG
Unaona Mzungu huyo anaenda kufanya nini...? You can guess what followed!Mbona mimi kwenye michuzi blog nimemuangalia na kuona mama kalishika kombe hilo pamoja na Mheshimiwa Rais.
Unaona Mzungu huyo anaenda kufanya nini...? You can guess what followed!
kimbelembele sana huyu mke wa Jakaya(si mke wa Rais, maana Rais ni taasisi), daima amekua akijadai mjuaji sana, amekua akikaripia kama nae anamamlaka ndani ya nchi, ona sasa kaumbuka, aibu sana.Nasikia mamaa alipoona mmewe kalishika kombe la Dunia nae akapeleka mkono lakini wakuu wakamvuta mkono (kama alivyofanyiwa Raila kule Kenya)...
Hivi hakuarifiwa mapema kuwa linaguswa na mmewe tu?
Mbona mimi kwenye michuzi blog nimemuangalia na kuona mama kalishika kombe hilo pamoja na Mheshimiwa Rais.