Siasa na Vitimbi vya Kombe la Dunia Lilipotua Bongo!!

Kwa maana hiyo huyu mama hakupata bahati ya kuligusa kombe la dunia!

Pole yake.
 
mkuu nilitamani hivyo nikiclick michezo aifunguki kabisa,ikabidi niweke huku mod anisaidie..
 
Mbona mimi kwenye michuzi blog nimemuangalia na kuona mama kalishika kombe hilo pamoja na Mheshimiwa Rais.

Kombe+la+Dunia+%282%29.JPG
 
kwani lina nini jamani mpaka firstlady asitimize angalau ndoto yake ya kuligusa
 
Amezidi kuwa kimbelembele. This could make her come to her senses

kweli huyu mama ana kimelemebele sana.kwa kuwa mumeo rais basi na yeye anajifanya rais....tena wangempiga mitama kabisa
 
Nasikia mamaa alipoona mmewe kalishika kombe la Dunia nae akapeleka mkono lakini wakuu wakamvuta mkono (kama alivyofanyiwa Raila kule Kenya)...

Hivi hakuarifiwa mapema kuwa linaguswa na mmewe tu?
kimbelembele sana huyu mke wa Jakaya(si mke wa Rais, maana Rais ni taasisi), daima amekua akijadai mjuaji sana, amekua akikaripia kama nae anamamlaka ndani ya nchi, ona sasa kaumbuka, aibu sana.
 
Mbona mimi kwenye michuzi blog nimemuangalia na kuona mama kalishika kombe hilo pamoja na Mheshimiwa Rais.

Kombe+la+Dunia+%282%29.JPG

Mzee aliona mama naye alishike hata kidogo, sijuhi alidhani ni zawadi wameletewa akaona amkabidhi mke wake au vipi. Jamaa aliyekuja nalo akawa mbogo, heshima ya urais na u first lady kaitupilia mbali, akamkataza asilishike, japo kiukweli tayari alikuwa amesha lishika.
 
Tatizo watu wa itifaki (protocol) Tanzania wengi wao sasa hivi hawako makini. Wanafanya kazi kama enzi ya analogu. Matokeo yake ni kama haya ya bi mkubwa. Ila na huyu bi mkubwa nae awe anaji brief kidogo mwenyewe kama anakwenda kwenye shughuli za kimataifa. Aperuzi hata google tu kujua dos and donts asisubiri hao ma analogu wa itifaki
 
huyu mama kimbelembele tu ..hata wamjaze ma protocol bado ataleta mambo yake haya utadhani yuko kwenye kitchen party bana...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom