Jitahidi kumwelekeza kwa utaratibu, atakuelewa na atabadilika kidogo kidogo, vumilia ila usichoke kumuongoza.
Kumbuka hakuna aliye kamilika.
Wife material huku kakwambia usimfatilie ana mambo mengi utaumia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]daaah lakini namuona kama wife material