Siamini tena wanawake wapole

Siamini tena wanawake wapole

Hivi hapo wazazi wako wakianza kukuchagulia mke utawalaumu? Inaonesha hujui unataka mke wa aina gan maishani.
mkuu huyo ndio nilimuona ananifaa lakina naona amekwishaanza mapichapicha
 
Habari zenu wanajamii forum

Katika harakati za kutafuta binti anayeendana na sifa zangu nazotaka, eeh bwana macho yangu yakatua kwa binti mmoja wa kinyaturu ambaye nimekutana anaye hapa Moshi, Kilimanjaro. Yaani kwa kumwangalia ni mpole hana mambo mengi na kizuri nilichokipenda alikuwa muda wote anashinda kanisani, tena moja ya kanisa la kilokole na muda wote anaimba mambo ya Mungu.

Basi nikaanza harakati za kumfatilia maana kwa mimi ninaona kabisa ni aina ya mke nayemhitaji, basi bwana kama tabia ya wanawake ilivyo alinisumbua sana mpaka kumpata sasa mwaka jana mwisho nikafanikiwa kumiliki lakini sasa nimeanza kuona tabia zake sio kabisa.Kwanza ana kiburi kisicho na mfano na kitu cha pili nimegundua ana connection ya wanaume wengi sana japo ni msiri sana.

Kitu kingine nimegundua anapenda maisha ya juu sana kuanzia nimeanza kuwa naye, Pamoja na hilo mavazi anayovaa anapenda yale yanayo take attention kwenye jamii,yaani anavaa vimini huku mtaani ya nguo za kubana makalio mpaka najiuliza huyu sijui anasali nini yeye anadai yeye ni kijana wa kisasa na amenionya nisimfatilie maana nitaumia sana ana mambo mengi

Jamani nimeamini wanawake wapole wana siri nzito sana.Naombeni ushauri wadau niendelee naye au nifanyeje???
ivyo vimini kaanza kuvaa lini?
 
Jiongeze mkuu maana kwa maneno ya kuwa 'usimfuatilie ana mambo mengi utaumia' haya ni maneno ya kiburi yenye msuko wa mapenzi hafifu ndani yake
 
Every one need privacy, tuliumbwa tusijue jirani anafikiria nini sio kwa bahati mbaya sasa ukitaka kuwa FBI'S au CIA agent lazima ujiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom