Siamini tena wanawake wapole

Siamini tena wanawake wapole

Wanawake wapole ni zaidi ya unga Wa pilipili machoni..hua ni wapole wakiwa nje ila ndani ni zaidi ya kufungiwa chumba kimoja na chui mwenye watoto...mimi ata sina cha kukushaur maana sina tofauti na wewe!
 
Siku hizi watu hutumia dini kuficha mambo yao pole sana mkuu
 
Wanasema KINYONGA ni mwendo pole sana lakini kwenye hatari - MARATHONI ya kumwaga ,huyo sasa KANISANI kwa wingi UKAHABA chinichini anakuzomea
 
Kwa wanawake wakinyaturu, wakinyiramba kiburi na umalaya ni vitu vya asili ambavyo wanazaliwa navyo.
Ukisema umpige ndio kabisa. Utatukanwa kila aina ya tusi. Kofi moja matusi 10.
 
Wanawake wapole ni zaidi ya unga Wa pilipili machoni..hua ni wapole wakiwa nje ila ndani ni zaidi ya kufungiwa chumba kimoja na chui mwenye watoto...mimi ata sina cha kukushaur maana sina tofauti na wewe!
daaah kaka kunani tena tushauriane
 
Kipind naanza kusoma hii thread wimbo wa nandy ukaanza. Huyo dem ni kivuruge
 
wewe komaa nae tu.Uvumilivu ni muhimu ktk mahusiano
 
Sa hivi jf imekuwa kijiwe cha hadidhi na tungo.
 
Back
Top Bottom