Siamini katika nafasi ya pili kwenye mahusiano

Mie mtu akizingua.. Ngumu kumpenda au kumuamin kama awali.. Akitaka tuendelee ajue kabisa hana nafasi kwangu namchukulia supu ya mbwa..

Mwanzo mara nyingi huwa neutral, so upendo utaongezeka au kupungua kutegemea na yeye anavyoact.. Akionesha love ya kutosha na mie rank zinapanda, akijambisha na mie mishuzi tu.

Hahahahhhaha... Nimecheka sana hii.
 
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.

Hakuna aliye kamili ila ukipata mtu mkweli, muaminifu na anajitolea kwako mshikilie huyo . Siamini kurudiana , ukinitenda ndio imetoka hiyo
 
Wakati mwingine kumpa mtu second chance katika mapenzi hasa hizi upcoming love na hata hizi love zilizo komaa ni sawa na kumpa kisu mtu akumalizie sabu kile alicho kuchoma mwanzo akikukupata vizuri. So kueni makini sana ndugu msije kua mnajifukia mngali hai.Once a person mess up with you tena kwa visingizio vya shetani,simple achana nae jipange upya.
Umenichomaje, nimetoa second chance ndiyo kanimaliza kabisa, lilivyokuwa halina aibu linadhani nimesahau linataka nafasi nyingine tena, naona sasa anataka kuniua kabisa. Nimejifunza kitu. Ila ni mwanaume ambaye hana akili tuu Ana miaka 43 ila hajielewi kabisa. Kumsamehe unaweza kumsamehe ila aendelee na maisha yake na siyo kumsamehe na kurudiana
 
Inategemea jinsi unavyomuani mtu wako, kama kweli anafaa kupewa second chance basi mpe, wengine huwa ni bahati mbaya tu kiukweli, ila kuna wengine ni changamoto
 
Second chance wakati mwingine inafanya kazi na in nzuri. Me wangu nilie nae nilimpa hi 3rd chance. Nimeanza nae toka primary, tulipomaliza 6 akazingua.. Me nikajoin chuo, huko alikoenda akaona mambo magum akarudi.. Nikampokea.. Nikiwa chuo mwaka wa pili kutokana na force ya wazaz akaoewa na MTU mwingne.. 2012 Huko nako mambo yakawa so aliyotegemea.. Hapo ndipo alivyogundua utofaut wangu na the other men kwake.. Akatatafta taraka mwenyewe na kuvunja ndoa nikiwa chuo mwaka 3 akarud kwangu.. 2013 hakusikiliza wazaz tena nikiwa chuo mwaka 4 nikampiga kimimba.. Mpaka sasa tupo wote hajawah zingua tena... So second chance inasaidia kuchange makosa..
 
Mapenzi (ndoa) ingekua hivyo wazazi wako wangetengana kabla hata hujaanza darasa la kwanza.

Achana na tamthilia, ukikua utayaona.
 
Kwenye ndoa ni more than this,maadam na wewe unamkosea mwenzi wako kimya kimya sioni tatizo na yeye akikukosea ukampa nafasi ya pili,petro alimkana Yesu mara tatu na bado akasamehewa na wewe unaona ugumu kumsamehe mwenzio?mimi kabla ya kufanya maamuzi yoyote kuhusu mustakabali wa ndoa yangu hupima kipi ni muhimu kati ya ndoa yangu na kosa lililotendwa,most of the time nakuta ndoa yangu ina uzito mkubwa kuliko kosa provided mtendaji kosa ni binadamu na anajutia kukosa kwake,hivyo nakuwa tayati ku move on
 
Umenichomaje, nimetoa second chance ndiyo kanimaliza kabisa, lilivyokuwa halina aibu linadhani nimesahau linataka nafasi nyingine tena, naona sasa anataka kuniua kabisa. Nimejifunza kitu. Ila ni mwanaume ambaye hana akili tuu Ana miaka 43 ila hajielewi kabisa. Kumsamehe unaweza kumsamehe ila aendelee na maisha yake na siyo kumsamehe na kurudiana
Hapo akili kumkichwa kuzubaa umeachwa mortuary
 
Back
Top Bottom