Pole sana Zack, inuka kung’uta vumbi songa mbele...Kwanini lakini.?
Hakuna gumu linalodumu
Pole sana Zack, inuka kung’uta vumbi songa mbele...Kwanini lakini.?
Hujawahi penda.
Ahsante
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamani?
Utapenda tu, ita about time, moyo hauna adabu
Sio vizuri kila kitu kinasameheka kama una upendo wa kweliSure thing Ukipendwa pendeka.... siyo mtu unajitoa fahamu vichochoro vyote wavijua, majalalani umoo, vichakani umooo... mashimoni umooo..heshima inapungua kuna watu heshima kwao ni main course, sasa ya nini kuning’inia moyo wakati dawa ni kuyaaga mashindano.
Situmii kileviUpo wap tukanywe bia?
Ni kweli mkuu, ila pia kisiwe kigezo cha kudharaulika.Sio vizuri kila kitu kinasameheka kama una upendo wa kweli
Jipe muda tu, utakuja kumpata soulmate, na utakumbuka haya yote utacheka sanaNajiona nothing bila yeye sidhani naweza para perfect match kama huyu mwanamke
Pole sana ila umefanya makosa makubwa mnoo mpaka mwanamke amekuacha wewe ni mjinga sana .Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamani?
Mm simdharau nampenda na kumuheshim mnoo..Ni kweli mkuu, ila pia kisiwe kigezo cha kudharaulika.
[emoji3516]Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamani?
[emoji3516]Ok. Ni Member humu nilichangia uzi fulani ndio ikawa sababu
[emoji3516]Kufa kwa ajili ya mapenzi ni ujinga yaani vijana wa siku hizi mnataka kuwe na somo la mapenzi shuleni sijui.
Mnaendeshwa na hisia tumia akili.