Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Mimi nikiwaga ktk pito la namna hiyo ili niondokane na huo msongo wa mawazo basi nigegedane tu ndio mawazo yatamsahau after mgegedo ki ukweli napataga

maujasiri kama van dame namm namtumia na msg kbsa huko aliko Nenda mwana kwenda so mkuu kwasaivi dawa pekee niliyoithibiitsha n hiyo mkuu,tafuta yule anaekusumbuaga sanaaaa wewe humtaki LEO kamtunuku.
Sina mwingine zaidi yake tatizo,Siwezi fanya mapenzi na mwingine ghafla ghafla hua sipo hvo
 
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Mkuu pole Sana, hebu tuambie chanzo cha kukuacha ni nini, je ni wewe ulimkosea hadi akafikia maamuzi hayo? Na ulimkosea nini kikubwa kiasi hiko hadi akashindwa kukusamehe mana naamini kama huyo mwanamke unampenda kiasi hicho kwa tabia zetu wanaume lazima utakuwa ulikuwa unampa kila anachohitaji, sasa hadi anafikia hatua hiyo kuna kosa lipi kubwa.

Au hukumkosea chochote alikuwa kajishikiza tu kwako tayari kapata mwemye hela zaidi yako?

Hebu funguka ili tujue namna ya kukushauri mkuu.
 
Ok. Ni Member humu nilichangia uzi fulani ndio ikawa sababu
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya😢😢😢
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa
Kufa kwa ajili ya mapenzi ni ujinga yaani vijana wa siku hizi mnataka kuwe na somo la mapenzi shuleni sijui.
Mnaendeshwa na hisia tumia akili.
 
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.
Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wqngu nimpendae, Nimelia.Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.
Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda
Nifanyeje jamanj
Pole sana I can feel your pain man
 
Kaka natamani ingekua rahisi yaani kiukweli nawaza kujiua tu najaribu pambana na mawazo haya[emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiona mtu kafa kwa mapenzi usimuone mjinga kabisa
Hii ni ID nyingine ya Umomi ama?

Sasa ukijiua ndiyo itasaidia nini? Unamuacha mwenziyo ndiyo kwanza anahondomolwa na majamaa wakati we unaliwa na funza.

Na kama kweli uko siriazi na hii ishu ya kujiua, mpigie Bi mkubwa wako au kiongozi wako wa kiroho umweleze. Au nenda hospitali ya karibu hapo ukaonane na daktari ye yote watakusaidia.

Binti mwenyewe umemwambia kuwa unataka kujioff kwa ajili yake akasemaje?
 
Hujawahi penda.
Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom