Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,353
- 15,075
Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!